Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

UMUGHAKA TAKE CARE UNAWEZA KUPUNGUZA AUDIENCE PALE UNAPOKAA MUDA MREFU KUTOKA EPISODE MOJA MPAKA NYINGINE...

PSYCHOLOGICALLY MATAMANIO, UPENDO, TAMAA NA SHAUKU HUONGEZEKA TO THE ELASTIC LIMIT...IKISHAFIKA FIKA MWISHO HUPOROMOKA...

USIJE SHANGAA UNADONDOSHA EPISODE...ALAFU UKAPOKEA POOR RESPONSE KUTOKANA NA KUPUNGUA KWA AUDIENCE TOFAUTI NA ILIVYO HIVI SASA...

KITU KIREFU SANA NA KUCHUKUA MUDA MREFU ZAIDI HUPOTEZA MVUTO KADIRI MUDA UNAVYOZIDI KWENDA.

HII ITAATHIRI HATA UPANDE WAKO...KWA SABABU HATA WEWE KATIKA USIMULIAJI WAKO KUNA KITU UNAKIPATA NA KUKIPUNGUZA KWA UPANDE WAKO NI FAIDA VILEVILE...MWISHO WA SIKU NA WEWE INTEREST YA KUSIMULIA UTAPOTEZA KWA KUKOSA AUDIENCE...

HUJIULIZI KWANINI STORY ZINGINE HAZINA RESPONSE KAMA HII ULIYOPATA WEWE...ITS JUST BECAUSE TUNA EXPERIENCE NA STORY ZILIZOPITA ZILIISHA HARAKA...NA HII VILEVILE WE EXPECT ITAISHA HARAKA KAMA ZILE MBILI ZILIZOPITA...

OTHERWISE NA WEWE UTATUPOTEZA KAMA WENZAKO...ACHANA NA HUU UTARATIBU...ALIYEKUSHAURI HIVI KUWA WEEK AFTER WEEK HAKUPENDI NA HAKUTAKII MEMA...NA VILEVILE PENGINE ANAKUONEA WIVU KWA VILE ULIVYOTEKA AUDIENCE....FIKIRI...CHANGA KARATA ZAKO VEMA...
Hata Amini siku atakapo poteza audience, maana sasa hivi amevimba kichwa kifala sana .itafika mahala tutampuuza Kama anavyopuuzwa mpwayungu village Nasoma tu heading nikiona mleta uzi ni huyo mpuuzi napita mbali mnooo
 
Nakazia, jamaa story zake ziko real

Sent using Jamii Forums mobile app

Na kama kitu kipo real huwa kinahitaji muda halafu watu wanatukana na kupaniki pasipo kujua mazingira ya mwandishi yako vipi. Jamaa ni Dereva wa bodaboda muda wa kutulia na kuandika ni mchache kutokana na nature ya kazi yake. Watu wanatakiwa kuwa na subira tu.
 
Hata Amini siku atakapo poteza audience, maana sasa hivi amevimba kichwa kifala sana .itafika mahala tutampuuza Kama anavyopuuzwa mpwayungu village Nasoma tu heading nikiona mleta uzi ni huyo mpuuzi napita mbali mnooo
Ifike mahali na nyinyi mkue kaa...yaani mtu aache shughuli zake afanye kazi ya kuwaandikia, nyinyi mnamlipa shilingi ngapi? Muacheni afanye mambo yake akipata mda atawaandikia episode mpya ukiona anachelewa acha kufuatilia sio lazima maana yeye hanufaiki na chochote wewe ukisoma.
 
Na kama kitu kipo real huwa kinahitaji muda halafu watu wanatukana na kupaniki pasipo kujua mazingira ya mwandishi yako vipi. Jamaa ni Dereva wa bodaboda muda wa kutulia na kuandika ni mchache kutokana na nature ya kazi yake. Watu wanatakiwa kuwa na subira tu.
Anaendeshaje boda boda na alfwata mkononi,yale yale ya is it possible
 
Hapangiwi na mtu kuhadithia...na sisi hatujamuomba aielete humu...

Kama alikuwa anaona hapati faida yoyote akahadithie ngedere porini...

Kama umeleta humu malizia...hutaki usilete kabisa...
Watu arosto zinawatesa sana ***** dadeq[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaan mmekua mateja wa hadithi ya umugaka!!!!
 
Back
Top Bottom