sehemu ya 20
Kiukweli baada ya kuiona ile alama aliyekuwa nayo mkononi mwenzi wangu mimi na kaka Ally mpemba,maya nilipatwa na mushangao wa hatari aisee ila niliamua tu kupotezea nikawasha gari na fasta nikaianza safari ya kwenda kule ghetto kwa Ally kumpatia huyu mrembo ile range kama brother Ally alivyonielekeza
Sasa tulipokuwa njiani tukienda ghetto kwa bro Ally mpemba/muarabu kama nilivyosimulia Farah alifanya kitu kilichonishangaza sana na kuniacha kinywa wazi mpaka nikaanza kujiuliza hivi wapemba wote huwa wanakuwa hivi kimaajabu maajabu ama ni hii familia tu ya akina Ally
Farah aliliinua ile baibui yake mbele ya macho yangu na kuanza kujikuna sehemu za siri huku akilalamika kuwashwa sana sijui eti ni maladhi gani haya yamempata
Kama mjuavyo macho hayana pazia wala mlango,licha ya kujitahidi kukwepa nisiziangalie sehemu za siri za dada Farah lakini nilijikuta tu nimetupiapo kajicho kidogo
Du nilishangaa sana baada ya kuona sehemu za siri za mrembo wa kiarabu Farah zilikuwa zimezungukwa kama sio kuzingirwa na kichaka cha mavuzi kama alivyo Maya.Nikawa kama nimeconfirm kuwa maya ndio Farah na Farah ndio maya kwa angalau 65%
Basi nimuacha Farah aendelee kujikuna tu lakini ghafla akaanzisha michezo fulani hivi ya kitoto, akaniambia niendeshe gari kwa mkono mmoja wa kulia eti halafu huu wa kushoto niuache tu usaidizane na mikono yake kuzikuna sehemu zake za siri zilizokuwa zinawasha kwelikweli,kabla hata sijanena neno lolote akawa ameushika mkono wangu wa kushoto na kuupeleka moja kwa moja kunako sehemu zake za siri na kuniambia nianze Mara moja zoezi la kumkuna
Basi bwana,niliendesha gari kwa kutumia mkono moja huku huu mkono mwingine nikimkabidhi Farah autumie kukunia sehemu zake za siri mpaka tukawa tumefika ghetto kwa bro Ally,nikapaki gari nje ya geti na kushuka chini huku sehemu zangu za siri zikiwa zimevimba kwelikweli sijui kwa nini?
Nikatembea taratibu huku nikichechemea kutokana na sehemu zangu za siri kuvimba sana ,nikalifungua geti kisha nikarudi ndani ya gari na kuiingiza ndani huku bado Farah akiwa anajikuna kuna sehemu zake za siri
Baada ya kuingiza gari ndani ya geti nikaamua nifanye nilichoagizwa na bro Ally yaani nimpatie ile Range Farah na Farah anipatie million 2 kisha kila mtu asepe
Nikashuka kwenye gari polepole huku bado sehemu zangu za siri zikiwa zimevimba.Maya naye sorry Farah naye eti akasitisha lile zoezi lake la kipumbavu kisha akashuka kutoka kwenye gari huku akiwa hana hata tone moja tu la aibu
Nikaanza kupiga hatua kuiendea ile Range ila Farah akaniita ghafla kwa jina langu la utotoni kabisa achana na hili la ubatizo Umughaka
Niwe muwazi nilipatwa na mushtuko usio kifani kwa Farah kuniita jina langu la utotoni yaani Mung'osi,eti Farah akajifanya kuniita tena mara ya pili kwa jina langu la ubatizo Umughaka huenda baada ya kuuona mshituko uliosababishwa na yeye kulitaja bure jina langu la utotoni
Umughaka,Umughaka Farah akaniita nikasimama na kusitisha hatua zangu za kuliendea lile lirange la kaka Ally muarabu sorry mpemba
"Eti Umughaka unaonaje ukifungua mlango kwanza wa nyumba japo tukae sebuleni maana kaka Ally hajswahi kuniruhusu kuingia ndani ya hii nyumba toka kujengwa kwake" Farah akasema
Nikataka nikubali nikataka tena nikatae mwisho nikakumbuka lile sharti nililopewa na bro Ally la kutomruhusu mtu yeyote kuingia ndani ya hii nyumba iwe asubuhi,mchana,jioni ama usiku wa manane.Basi nikatabasamu na kumuhongopea Farah kuwa ufunguo wa nyumba sina,Mimi nimeachiwa funguo za magari tu na hilo geti la nje,Farah akashusha pumzi kidogo kisha akaniambia eti nimpatie funguo zote nilizonazo kwa sasa
Akazipokea funguo zote kisha huyo akapiga hatua kuuendea mlango wa nyumba ya kaka yake Ally mshirikina,akaingiza ufunguo kwenye kitasa kisha kama utani akaingia ndani na moja kwa moja akawa anapiga hatua kukielekea chumba alichohifadhiwa Maya
Nikamsikia akiita kwa sauti kama ya huzuni kidogo maya maya maya maya......
Itaendelea
UMUGHAKA leta basi sehemu ya 21 au na yenyewe niitupie.
Chizi Maarifa kuja mura