Vitalis Msungwite
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,292
- 7,867
Kama unafuatilia stori zake ni kuwa hayo alishayapitia na Sasa anamaisha mengine. Nini kilitokea! Tuliza mtoriAnaendeshaje boda boda na alfwata mkononi,yale yale ya is it possible
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unafuatilia stori zake ni kuwa hayo alishayapitia na Sasa anamaisha mengine. Nini kilitokea! Tuliza mtoriAnaendeshaje boda boda na alfwata mkononi,yale yale ya is it possible
Sehemu imeishia ya 19Yani Mimi wazee nimechoka kuitafuta hii story..
Nimeishiwa sehemu ya 17 lakini naona maoni naona watu wanasema wako ya 20 lakini siioni ...duh...noma nakutana na comments za kutosha....vurugu tupu[emoji853][emoji853]
ShukranSehemu imeishia ya 19
Sawa loveThanx dear...ndo naiona leo
Mi naona asiilete kabisa, akae nayo huko au awasimulie boda boda wenzake huko kijiweni.Inauma sana, ndani ya page 10 haukuti mwendelezo wa simulizi!
Mkuu UMUGHAKA ile ya lishangazi usiilete nusu nusu kama hii,andika yote umalize halafu uirushe hapa hata jamvi la kusoma siku 3 bila kukata.
Shukrani.
Kwani ni yeye? Hujui Nguvu ya kipepo ilishamvaa hapo? Ushishangae huko mbeleni akasimulia alivyopanga kimpindua Ally Mpemba abebe Maya jumla.Anakwambia alipiga nyama hadi kunakucha,nmevumilia uongo mwingi lakin huu babukubwa...
Hakuna story nimeisoma kwa raha zangu kama hiyo iliyopita ya kutimuliwa home niliacha ikaishaa kabisa ila hii sijui kiherehere gani kimenikuta nikaanza kuisoma.
Vuzi liko wapi sasa kaanza kunyoa?Maya kama maya hata mimi nisinge muacha😎View attachment 2494245
Hadi mm ile nilikuwa naweka na pause mimi nasema hapa ntaendelea kesho, lkn sio kwa ujinga huu naunga bando naingia hamna kitu bando linakata naweka tena hamna kituHakuna story nimeisoma kwa raha zangu kama hiyo iliyopita ya kutimuliwa home niliacha ikaishaa kabisa ila hii sijui kiherehere gani kimenikuta nikaanza kuisoma.