wiztech
JF-Expert Member
- Apr 20, 2020
- 259
- 511
sio lazima pia apite kuleeKila jmos ndio atakua ana release episode hivyo kuweni wavumilivu.
Mleta story hapangwingwi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio lazima pia apite kuleeKila jmos ndio atakua ana release episode hivyo kuweni wavumilivu.
Mleta story hapangwingwi
Kumbe tumefanana swahiba wanguNgoja nilale sasa huende kesho akamaliza hii simuliziView attachment 2494531
Kwa trend ya hizi episodes za mwisho mwisho kupost watu wamejiongeza tu kwakua amezileta kila Jmos!!Hii haina shida kabisa, si aseme tu pale anapomalizia "itaendelea jumamosi mchana".
Huyu UMUGHAKA achaneni nae akomae na biashara yake ya mayai na uboda boda kama vipi someni episode ya 20 kutoka kwa VIKITIM. Post #4088Active Diversity Moderator Maxence Melo Member wanawaomba mfanye jambo ktk Thread hii ,haiwezekani mtu kama huyu kudharau member wa JF kwa kivuli cha uboda boda ,ikiwapendeza apigwe Ban ya maisha na uzi wake ufutwe maana Una kichwa tuu hauna kiwili wili wala miguu ni harmful kwa wasomaji..
◉‿◉🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅😅😅😅😆😆😆😆😆😆Huu ndo upuuzi wa ngozi nyeusi vistory vitatu kashajiona super star kwasababu ushaona umateka fikra za watu hapa unapita kila siku unasoma comments unacheka tuu unaona unatukomoa fala wewe ungejua humu jamii forum kuna watu wanaweza kukudhamin ukachapisha vitabu ukawa umetoka kimaisha ila kwa dharau hizi huwezi kupata hata mdhamini fala wewe hata kama umetingwa na kazi sema watu wajue, from now am out na huu upuuzi endelea kudengua kama mtoto wa kike mbwa wewe. By the way sipo jobless nina kazi so watu msije sema sina kazi sema time kama hii nipo home nilikua napita kusoma story ya huyu kenge.
Pitia hii Post in thread 'Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani' https://www.jamiiforums.com/threads...nya-nikamuamini-shetani.2048232/post-45071244Umughaka atakuwa anaangalia luninga kwa mjomba ake niko
Wewe ni mkewe UMUGHAKATaarifa Rasmi kwa fans wote wa UMUGHAKA
Storry itaendelea tarehe 15 mwezi wa 2 mwaka 2023 yaani siku moja baada ya Valentine's day.... Tumesimama kuendeleza Story baada ya kuona watu wengi kushinda humu na inawezekana mpaka sasa hivi hawajaandaa zawadi za kuwapa Baby zao...
Sisi kama Familia ya UMUGHAKA hatutaki lawama yoyote ndiyo maana tumewapa wiki tatu za kufanya kazi na kupata hela
ANGALIZO: Kuna watu wanapenda kutukana humu wanadhani na sisi hatujui matusi siku tukichafukwa humu hatuhitaji Lawama[emoji52][emoji52]
By: Msemaji wa Familia
UMUGHAKA Family
Sawa MAYA.Taarifa Rasmi kwa fans wote wa UMUGHAKA

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawa MAYA.
Tuki baki haiMwenye alosto aje uku tupate burudani,uku ni bandika bandua..
View attachment 2495354Tukibaki Hai, Tutasimulia
Ni muda mrefu sana kwenye hizi anga za simulizi, sasa hatimaye nimerejea na hadithi hii. Kwa wale wageni, waweza tazama hizi ... ni kazi ya mikono yangu ... https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1331844/ https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1220493/...www.jamiiforums.com
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ACHA KABISA MWAMBA NI NOMA SANA..SOMA NA ILE "TULIVYOMFANYA YULE MCHAWI" NI YA KIWANGO CHA KUTISHA SANA.
"NILINUNUA MBOGA KARIBU ZOTE KASORO MATEMBELE" UMUGHAKA ALIHISI MAJINI HAYALI MATEMBELE? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chizi kweli weweVile na mapenzi ya kweli hadi ally arudi angekuta nimeshamnyoa hizo nywele huyo Zahra a.k.a Maya na nimeenda kumtambulisha kwa marafiki zangu wamjue shemeji yao, nisingekubali ale kabichi tena.
[emoji23][emoji23][emoji23]ACHA KABISA MWAMBA NI NOMA SANA..SOMA NA ILE "TULIVYOMFANYA YULE MCHAWI" NI YA KIWANGO CHA KUTISHA SANA.
"NILINUNUA MBOGA KARIBU ZOTE KASORO MATEMBELE" UMUGHAKA ALIHISI MAJINI HAYALI MATEMBELE? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]