Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Umetumwa na Ally mpemba ww sio bure
 
Wasamehe mkuu.
ham
Mura shida ni kwamba kuna vijamaa humu na vyenyewe vinaenda kusimulia huko sasa kakibanwa huko mwedelezo kakija humu kanakuta episode bado.. basi kanapaliwa kanaanza matusi 😀😀
watu hawamlipi hata mia lakini wanatukana wengine wanafosi kabsa nimeamini kuna binadamu hata umpe nini hawana moyo wa shukrani
 
Mtu umekabidhiwa audi mpya halafu unakwenda kujitongozesha kwa muuza juice kweli likurya ni likurya tu hata lijiite umughaka(lizee).Hili mwisho wake naliona likienda kudhulumiwa maharage lililoenda kulima huko kwa wanakyusa
Mazingira mkuu yameamua hivyo kwasababu chakula anaenda kununua sokoni, ila kama angekuwa anafata chakula Serena, C Cliff hoteli sawa4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…