Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Mda ulioutumia kuandika si ungeandika EPISODE YA 21

Kwani kutoa taarifa mpaka ufatwe pm si ungeliandikaga hapahapa watu mnapenda uboss sana.
Inatosha kuelewa kuwa ana Majukumu mengi zaidi ya kuandika. Hata pamoja na tabia yako ya kupenda haimaanishi kila siku au kile weekend ni lazima ung'ae bar. Mara nyingi unapotea na ukirudi kule visingizio kibao kuwa ulisafiri kumbe either ulikamatwa, au huku na hela.

Yeye hobby yake ni kuandika, na kuandika siyo ajira kwake lwamba inamuingizia kipato. Hivyo inahitaji uelewa kuelewa anayoweza mtu akawa anayapitia. Si lazima ajieleze, anajieleza kwa kulazimika tu.
 
Masta umepata pesaaa ukaanza umalaya bila kujua masharti vizuri 😁😁😁😁😁! Unaloooo( Kidding)
Aiseeehhh umenikumbusha jirani jamaa mwanaume mmoja ni ana pesa balaaaaaa mkewe aseme nini kila kituu ... watoto wanasoma shule kareee za pesa ndefuuuuu!! Hio mijumba sasa mikaree balaaa cha kushangaza mkewe analalamika wana 6 years now mumewe hajamlala six fully years no hata ile kumgusa upaja tu mpaka mwanamke anaumwa mgongo kiunoo kweliii !
Shikamoo Utajiri πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
(Najaribu kukonect dots tu lakini)
 
Mzigo upo hewani sasa.. kama alivyoahidi..

kAma kawaida maswali mengi kichwani..

Ni nani alikua akifungua duka?..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…