Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

kitu msichokijua wapenzi wasomaji licha ya kuwa mpenzi mkubwa wa soka vile vile mimi ni mpenzi mkubwa sana wa AC kiasi kwamba kuna kipindi hata sasa hivi nikiwa naendesha bodaboda huwa nalazimika kwenda dukani kwa Ally na kumlilia aniruhusu niingie kwenye ile Range yake ili japo nipate starehe ya AC hata kwa robo SAA tu jamani
Nimecheka sana😁😁😅
 
unavyopenda stor za minyanduano
usikute ulimwingiza mkenge huyo mama akakuropokea
nenda umwambie unavijana wako jf wa kumtibu nyege kama zinamsumbua
tupo tunamsubiri
Acha kabisa... hio scene ya sogezwa vuliwa nguo sidiria tight chupiii inamishwaaa auuuweeeeeehhh!!! Ninoumaaaaa!! 😎😎😎 Mjomba National Anthem Nat na ugonjwa wako wa mi🍑 najua unatamani ungekua master hapoooo 😁😁😁😁

Hahahaaa ni mtu mzima saivi lol!
 
Masta umepata pesaaa ukaanza umalaya bila kujua masharti vizuri 😁😁😁😁😁! Unaloooo( Kidding)
Aiseeehhh umenikumbusha jirani jamaa mwanaume mmoja ni ana pesa balaaaaaa mkewe aseme nini kila kituu ... watoto wanasoma shule kareee za pesa ndefuuuuu!! Hio mijumba sasa mikaree balaaa cha kushangaza mkewe analalamika wana 6 years now mumewe hajamlala six fully years no hata ile kumgusa upaja tu mpaka mwanamke anaumwa mgongo kiunoo kweliii !
Shikamoo Utajiri 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
(Najaribu kukonect dots tu lakini)
Aisee huyu nae hatari, Sasa huyo mke nae kwani amefungwa kofuli
 
Back
Top Bottom