Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Wana watoto kabisa!Labda awe hajawahi kuliwa ndio hatakufa, Ila kama alishaliwa halafu akakaa miaka 6 bila kuliwa huyo ni mfu kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana watoto kabisa!Labda awe hajawahi kuliwa ndio hatakufa, Ila kama alishaliwa halafu akakaa miaka 6 bila kuliwa huyo ni mfu kabisa.
Ally mpemba anauliza kama unawashwa yaheeesehemu ya 21
Basi bwana,baada yakuona kwa macho yangu Farah alichokifanya,yaani kuingia chumbani kwa kaka yake bila kutumia ufunguo kama malaika,majini na wachawi wafanyavyo nilibaki kinywa wazi huku nikitafakari mimi ni mtu wa aina gani kukubali kuishi mazingira yaliyozungukwa na miujiza kama sio mauza uza
Nikakumbuka vile visa vya wachawi kule kwa baba mdogo headmaster, nikakumbuka kisa cha kuvua kule kambini kwa shemeji yangu ambako walikuwa wakifanya ushirikina wazi wazi nikiwashuhudia,tena nakumbuka kuna siku walimchinja mtoto ziwani huku nkishuhudia eti ili wapate samaki wengi
Nikakumbuka visa vya kipindi kile niko jambazi,jinsi nilivyopelekwa kwa mganga tukalimia meno mimi na msela wangu Mutatiro,nikakumbuka visa nilivyofanyiwa na mjomba Niko
Nikabaki tu nimeinamisha kichwa chini nikijiuliza ni ipi sababu ya mwenyezi mungu kuruhusu umughaka aje Duniani
Nikataka nifungue mlango ili niende kulala kule chumbani kwa Ally lakini nikapata hofu kuu kwa kutokujua aunt Farah atakuwa amepachikamo zana gani mpya nikafikia maamuzi ya kwenda kulala kwenye Audi yangu
Nilipofungua tu mlango wa gari ili nilale du sikuyaamini macho yangu kwa nilichokiona
Niliikuta ila shuka tuliyoitandika kitandani wakati nampelekea moto huyu Dada yake ally ikiwa imetandikwa kwenye siti za nyuma za gari.Nikabaki nimeduwaa tu nisijue kipi cha kufanya maana ndani hakulaliki na kwenye gari hakulaliki.Wakati nikiwa bado kwenye hiyo hali ya kuduwaa mara nikasikia sauti kama ya maya akiniita kwa jina langu la ulisyani(utotoni),mung'osi,mung'osi Maya akawa anaita nikaamua kupiga kimya lakini akawa sasa anaanza kugonga mlango kwa nguvu sana kana kwamba kuna kitu kinamuogopesha kukaa peke yake humo kwenye limjumba la kake yake mjalaana
Nikawa kama nimepatwa na ukichaa wa dakika mbili hivi,nikakimbilia kule mlangoni anakogonga maya tena nikarudi kule kwenye Audi yangu kwa speed ya bombardier (hili zoezi nililifanya mara kumi na mbili).Kiukweli nilikuwa kwenye state of confusion ambayo sijawahi kuwa nayo toka nizaliwe mimi umughaka
Baada ya kuona kelele za maya kugonga mlango ndio zimezidi na sasa alikuwa akilitaja jina langu la utoto kama vile mtu amtajavyo jina la bwana yesu ili amuokoe pindi akunapo na pepo mchafu,nikawa nimepata ujasiri wa ajabu sana,nikaamua niende niufungue tu mlango nimkamate maya na kumfungia huko huko chumbani kwake,halafu niende kule chumbani kwa bro Ally mpemba nikaangalie yule msagane(Farah) aliweka nini kisha nisubirie kitakachotokea maana haiwezekani niwe muoga kiasi hiki wakati nilitahiriwa bila ganzi wala nusu kaputi.Huyo mnyama umughaka nikajivisha ukomandoo na kuanza kuuelekea mlango wa nyumba,wakati nimekaribia kabisa kuufikia mlango nikasikia sauti za makelele ya maya zimekoma na kumekuwa na ukimya wa ajabu sana kana kwamba hakuna kilichotokea nikabaki nimeduwaa nisijue cha kufanya.Nikaamua tu nirudi kule kwenye Audi yangu niwashe AC nilale,kitu msichokijua wapenzi wasomaji licha ya kuwa mpenzi mkubwa wa soka vile vile mimi ni mpenzi mkubwa sana wa AC kiasi kwamba kuna kipindi hata sasa hivi nikiwa naendesha bodaboda huwa nalazimika kwenda dukani kwa Ally na kumlilia aniruhusu niingie kwenye ile Range yake ili japo nipate starehe ya AC hata kwa robo SAA tu jamani
Nikaiendea ile Audi yangu na kuufungua mlango kijasiri kabisa eti nikakuta ile shuka bwana aimo,nikaingia ndani na kuwasha AC kisha mwanaume nikalala huku nikifikiria kesho niende kule kwa kiheli nikamdorishie hili liaudi langu halafu baadae niende kule kwa yule muuza juice ninywe juice ya 20000 ili nione kama atanikubali haraka na mimi nijilie mzigo bwana kwani sh ngapi
Itaendelea
duh umeandika kwa uchungu mno. UMUGHAKA muonee huruma jamaa. Yani comment yako nimemithilisha na story ya sungura na ndizi, Baada ya kuruka sana na kushindwa kufikia ndizi akaamua aseme hazitaki hizo ndizi maana ni mbichi.Huu ndo upuuzi wa ngozi nyeusi vistory vitatu kashajiona super star kwasababu ushaona umateka fikra za watu hapa unapita kila siku unasoma comments unacheka tuu unaona unatukomoa fala wewe ungejua humu jamii forum kuna watu wanaweza kukudhamin ukachapisha vitabu ukawa umetoka kimaisha ila kwa dharau hizi huwezi kupata hata mdhamini fala wewe hata kama umetingwa na kazi sema watu wajue, from now am out na huu upuuzi endelea kudengua kama mtoto wa kike mbwa wewe. By the way sipo jobless nina kazi so watu msije sema sina kazi sema time kama hii nipo home nilikua napita kusoma story ya huyu kenge.
Ila nyie viumbe mmezidi mno kuchunguzana, uliyajuaje hayo ya huyo mama kutokugegedwa na mumewe?hapati hudumaa stahiki toka kwa mume!!
Wacha bwanaNdio yupooo wanaishi maisha ya kifahari kweli ilaaaa ndoivooo hapati hudumaa stahiki toka kwa mume!!
Usiniambie 🤣Wana watoto kabisa!
Jukwaa liko wazi anzisha uzi wako tu kijana. Sijui manufaa unayoyatafuta hapa ni gani.sehemu ya 22 :
Nakuuliza wataka niletea umaskini miye masta,aliongea bro Ally kwa lafudhi yake ya kipemba akionekana kuwa mwenye jazba za kutosha.
Kabla hata sijafunua kinywa changu kumjibu akawa ameendelea kuongea.Masta umeshindwaje kusubiria mpaka ijumaaa ukamaliza haja zako za jimai kwa binti maya mpaka umeenda kulala na binti Rehema huku ukiwa umemvaa alfwata mkononi
Aliendelea kuongea bro Ally mpemba kwa jazba na muhemko ambao sio wa kawaida kabisa.Sasa masta wewe nimekupeleka unguja ukasilimu kwa hiari yako mwenyewe,kwa kinywa chako mwenyewe ukakubali kuwa muumini sasa kwa nini wafanya haya tena
Tena afadhali ungeyafanya haya mida ambayo sio ya maya wangu kupata chakula sasa wewe umeenda tapika wakati mwenzio ala
Bro Ally akawa kakata simu huku mimi nikiwa sijaelewa chochote alichokuwa amekizungumza na ukizingatia mimi sikuwa na uwezo wa kumpigia simu yake nikaamua tu kuiweka simu mezani na kurudi kumkumbatia Rehema wangu ambae ndio kaichukua nafasi ya Shamima mtoto wa kitanga,binti aliyefanya nipate zero advance licha ya kupata one ya 6 o-level
Baada ya kumpelekea Rehema moto wa kutosha kuunguza jengo la ghorofa 10 nilijikuta sasa nimechoka balaa nikajiliza pembeni ya Rehema na kupitiwana usingizi mzito
Nilipokuwa usingizini nikamuota Maya akiwa kajikunyata kwenye kona ya chumba chake huku eti akilia na kunilaumu sana kwa kosa nililomfanyia la kumsaliti kisa juice,akaendelea kulia mrembo Maya na kusema kama shida ilikuwa ni juice mbona hata yeye anayo nyingi sana tena yamchuruzika uken siku nzima,si ningesema tu anipatie ninywe
Itaendelea
Ila wewe ni mwehuu 😆 😆 😆 😆sehemu ya 22 :

Kujibu Hio nimejuaje juaje sasa ndio kashesheeee ila huo ndio ukweli!Ila nyie viumbe mmezidi mno kuchunguzana, uliyajuaje hayo ya huyo mama kutokugegedwa na mumewe?
Ndriiiooo ivooo mkuu!Usiniambie 🤣
Usijali, jibu ninaloKujibu Hio nimejuaje juaje sasa ndio kasheshe
Mimi au UMUGHAKAIla wewe ni mwehuu 😆 😆 😆 😆
Duh utamu unogile
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Namie Nakuonaga unavonizoom Kimya Kimya tu kakalakeee mie ni bukheri wa afyaaaa kabisaaa! Saiii nina furahaa isio kifaniii💃💃💃!😜Nipo hapa nakuangalia tu...😂🤣
Usitamani kuwa kibonge utasuswa na wanaume wa kisukumaMwanza napapenda sana nikikaa nanenepa balaaa!
Hahah Sina msukuma nina mjetraaaaa💃💃💃💃😁😁!!!!Usitamani kuwa kibonge utasuswa na wanaume wa kisukuma
Wana watoto kabisa!