Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Mwenye utajiri wa Mungu unitajie, nipe mda nichambue, nitakuambia kama kweli ni wa Mungu. Akupe wewe ni nani? una vichwa viwili ili uwe tofauti na binadamu wengine? Kama wewe ni mkristu zingatia tu Yesu alipopelekwa pale mlimani na shetani utajua utajiri ni wa nani.
 
Vipi yule Ayubu aliyeuliwa watoto wake na kisha Mungu kumpatia watoto wengine
 
Hadithi nyingine za Biblia ni za sungura, wewe tumia akili yako utagundua utajiri asili yake ni nini! Hata kama Yesu hangepelekwa mlimani utagundua mwenyewe utajiri ni katika ulimwengu wa roho .
 
Hadithi nyingine za Biblia ni za sungura, wewe tumia akili yako utagundua utajiri asili yake ni nini! Hata kama Yesu hangepelekwa mlimani utagundua mwenyewe utajiri ni katika ulimwengu wa roho .
Wametengenezewa Wa Africa hizo story mbona China, Japan, Korea zote hawaamini Quran au Biblia na kila siku Mu Africa anayeamini hivyo vitabu yupo huko kuomba misaada ya Kifedha, Teknolojia hata dawa? Kuna rafiki yangu Mjerumani alikuwa ananiambia hata kwao Vijana hawaendi Makanisani wanaoenda ni Wazee tu miaka 90+na Makanisa mengi yamegeuzwa Bar.

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…