amount
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 342
- 553
Sio lazima niamini kupitia kwa mtu, siku Ile Yesu alipopandishwa mlimani na shetani niliamini utajiri ni wa shetani. Mtu mwenye akili timamu anamuomba shetani utajiri. Tunaojikita kwa Mungu tutakufa masikini.
Nakwa Mungu pia utajiri upo mkuu