Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Tumezaliwa tofauti sana mkuu..unachokiona kwako kigumu kwa mwenzako ni rahisi sana..hivi ushawahi kujiuliza kwanini pamoja na maonyo yote na stori lukuki za watu kuibiwa mjini kati mpaka leo bado kuna ndezi wanapigwa?
Siyo kihivyo. Nachotaka mshauri ni kuwa awe anatulia anapotunga stories na watu wazima wapo humu
 
Hata mil 2 tu huwezi mpa mtu wa namna hiyo. Jamaa ana fail sana. anaamini anasimulia watu wote wenye akili ndogo. Anatakiwa anapotunga asicheze mbali na uhalisia.....
Tunatofautiana mazingira, miaka, vipato, experience na vingi tu kwenye maisha. Mie niliwahi kupigwa milion 20 kizembe tu na mtu niliemuamini sana.
 
Nakutisha kwani umeoa mmakonde?
Nina watunnawajua walianzia kazi huko tena vyeo vizuri na wakastaafia huko nyumbani walirudi wakiwa mifupa mitupu kwa maradhi na ndani ya week chache walikufa. Kwao hakikurudi hata kijiko...
Me ni majirani zangu kimkoa so nawaelewa sana tuu
uko kwenye kuoa bdo nina demu mmakonde tu japo ajakulia huko
 
Aisee,Zuu anaropoka mbele za watu kuliwa jicho bila aibu kabisa

Hivi hili la wanawake kuona wanahaki ya kubeba vitu kisa kila siku alikuwa anat om bw a wanaonaga ndo namna ya kujilipa ila kinachonishangaza wengine walitolewa mahari lakin wakitaka kuondoka wanabeba vitu
 
Nimepita hapa Gongo la mboto, nikakumbuka hii story ya UMUGHAKA na ile nyumba alipanga hapa.
Screenshot_20221224-151130_Gallery.jpg
 
Hello


Wakuuu kwema?,mnaendeleaje humu ndani?

Niwatakie wakristo wote wanaosherehekea Christmas HERI YA CHRISTMAS na niwaombe mshehekee kwa kumtukuza Mungu na siyo kuitukuza Anasa na kuipatia dhambi sifa!.

Bado sijapata mualiko ndugu zangu.
 
Hello


Wakuuu kwema?,mnaendeleaje humu ndani?

Niwatakie wakristo wote wanaosherehekea Christmas HERI YA CHRISTMAS na niwaombe mshehekee kwa kumtukuza Mungu na siyo kuitukuza Anasa na kuipatia dhambi sifa!.

Bado sijapata mualiko ndugu zangu.
Mkuu story inaendelea lini?

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom