Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa huu Utajiri mbinguni utapasikia“Kweli nawaambieni itakuwa vigumu sana kwa tajiri kuingia katika ufalme wa mbinguni. Tena nawaambieni, ni rahisi zaidi kwa ngamia kupita katika tundu la sindano, kuliko kwa tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu.”
aisee!!!!
Hili nalo neno. Lakini mengine niliyojifunza katika simulizi hii ni kwamba;-“Kweli nawaambieni itakuwa vigumu sana kwa tajiri kuingia katika ufalme wa mbinguni. Tena nawaambieni, ni rahisi zaidi kwa ngamia kupita katika tundu la sindano, kuliko kwa tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu.”
Thanx mrembo wetu
Alafu kabla ya Ally Mpemba kufahamiana na MASTER , Nani aliekuwa anamsaidia pamoja na kumstiri Maya ,pindi Ally Mpemba alipikuwa anasafiri? Au alikuwa hapati safari??? Nikipata jibu la hili swali itapendeza... Kwako studio...Umaghaka we ni jasiri. Ila kiukweli ulishindwa kumuuliza ally mpemba imekuwaje hadi zahra yupo nae na ndugu hawajui? Labda alikufa kwao au alipotea? Naomba unijibu.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Ndiyo, tena wachaga wa Rombotumepata mchumba?
Post namba ngapi hyo?Ndiyo, tena wachaga wa Rombo
Mkuu mbona watuambia uongo wakati umejiunga 2016??Hadi mimi aloh. Nimejiunga jf 2013 kama sijakosea hii ndo mara ya kwanza
Kwani hajakwambie Lovelovie kwamba amekutafutieni wachumba weye na To yeye?Post namba ngapi hyo?
@Lovielovie ameniita sijamuona mchumba badoKwani hajakwambie Lovelovie?
Ngoja tuone!! Leo Masta sijui atatupia sa ngapi!!Nawaza hivyo,,, pia ndo story ipo ukingoni, huu mtego wa kuuwa lazima jamaa atachemka,,,, kumbuka anamuelewa Sana Rey,,, ana trackle la maana na ndo ugonjwa wake,,, wacha tuone !
Hebu mpigie huenda kasahau kukuonyesha@Lovielovie ameniita sijamuona mchumba bado
Ngoja nisome kuanzia nilipoishia nisimsumbue mdogo wanguHebu mpigie huenda kasahau kukuonyesha
Ni changamoto sana yani!! Ile chain inakua inatembea kwenye ukoo au familia vizazi na vizazi!Haya mambo haya. Ndo mwishowe unakuja kuolewa na mwanaume kila mkizaa watoto hawaishi wanakufa. Au kila mke anaeoa anakufa. Na unakuta vizazi hadi vizazi hakuna anaeoa. Kumbe mtu aliingizwa mkenge miaka hiyo makosa wanakuja kuyalipa wajukuu
Nakwambia inatembea hadi kwa vitukuu, hawafanikiwi, hawaendelei, ndoa hamna wala uzazi. Kumbe kosa la babu.Ni changamoto sana yani!! Ile chain inakua inatembea kwenye ukoo au familia!!
Mungu atusaidie kwakweli!