Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

“Kweli nawaambieni itakuwa vigumu sana kwa tajiri kuingia katika ufalme wa mbinguni. Tena nawaambieni, ni rahisi zaidi kwa ngamia kupita katika tundu la sindano, kuliko kwa tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu.”
Hili nalo neno. Lakini mengine niliyojifunza katika simulizi hii ni kwamba;-
1. Pombe ni mwanaharamu;
2. Kuwa makini sana na zawadi za kupewa.
 
Umaghaka we ni jasiri. Ila kiukweli ulishindwa kumuuliza ally mpemba imekuwaje hadi zahra yupo nae na ndugu hawajui? Labda alikufa kwao au alipotea? Naomba unijibu.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Alafu kabla ya Ally Mpemba kufahamiana na MASTER , Nani aliekuwa anamsaidia pamoja na kumstiri Maya ,pindi Ally Mpemba alipikuwa anasafiri? Au alikuwa hapati safari??? Nikipata jibu la hili swali itapendeza... Kwako studio...
 
Hadi mimi aloh. Nimejiunga jf 2013 kama sijakosea hii ndo mara ya kwanza
Mkuu mbona watuambia uongo wakati umejiunga 2016??
Screenshot_20230130-120558.png
 
Haya mambo haya. Ndo mwishowe unakuja kuolewa na mwanaume kila mkizaa watoto hawaishi wanakufa. Au kila mke anaeoa anakufa. Na unakuta vizazi hadi vizazi hakuna anaeoa. Kumbe mtu aliingizwa mkenge miaka hiyo makosa wanakuja kuyalipa wajukuu
Ni changamoto sana yani!! Ile chain inakua inatembea kwenye ukoo au familia vizazi na vizazi!
Mungu atusaidie kwakweli!
 
Back
Top Bottom