Tyrone Kaijage
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 1,617
- 3,405
Raha yangu ni kukuona una furaha muda woteHahaha hivi unajua we hamnazo, nipo barabarani nimejikuta nacheka tu kwa nguvu
Mbunge wa hapa yuko wapisafi sana kazi iendelee mkuu wapinzani wametuchelewesha sana
nipo hapa mweshimiwa tunakushukuru wewe na ilani ya chama nikuombe ukanyage twende tumechelewa sana...boma yeee boma liwanza this case is openMbunge wa hapa yuko wapi
Muunganishaji anapoweka kufuli kwa pm yake ina maana hawezagi mikikimikiki ya wasee watafutaji 😂😂😂😂😂😂😂Aiseh PM yangu yani niliifunga
Ata mzee wa bakora za kimkakati alikuwa anakosea sana masharti,adhabu ilikuwa ni kutoa kafara ndugu zake wa karibuUchambuzi wa stori hadi hapa tulipofikia
UMUGHAKA Kukosea masharti ilikuwa planned,....hivi ndivyo huu utajiri unavyoenda / unapumbazwa then unakosea masharti. Ili uingie kwenye mfumo then mfanye collective bargaining upya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata ujitahidi vipi kujifanya innocent wa kufuata masharti .......lazima Kuna siku utajaa kwenye mfumo
UMUGHAKA ilikuwa lazima akosee masharti ili price itimizwe
References from different movies
shenala the chronicles & Merlin
."....for every magic there is price to pay"
Muunganishaji anapoweka kufuli kwa pm yake ina maana hawezagi mikikimikiki ya wasee watafutaji 😂😂
[emoji304][emoji304][emoji304][emoji304][emoji304]sehemu ya 23:
Basi bana baada ya kununua zile chupi niliamua niende tu nyumbani kwangu Gongo la mboto maana kipozeo changu Rehema ndio hivyo tena anakwenda kuliwa kichwa na majini ya Ally Mpemba.
Niliamua kupanda daladala maana sikuwa na ujasiri wa kwenda kule magomeni kwa Ally kuchukua ile audi ukizingatia hata chumba cha lile limsukule la kiarabu kilikuwa kiko wazi hivyo niliota itakuwa hatari sana kurudi pale bila kwanza kumaliza hili swala
Nilipokuwa njiani kwenda Gongo la Mboto nilipokea simu moja kwa moja kutoka kwa bro Ally akiniuliza mbona nimekawia sana kumpatia Rehema huo mzigo maana eti Maya hataweza kula mpaka kwanza awe ameinywa damu ya Rehema
Du! Nikabaki nimeduwaa nisijue cha kufanya,halafu kumbe wakati ninaongea na Ally nilikuwa nimeweka loudspeaker hivyo mazungumzo yote abiria wenzangu walikuwa wanayasikia live kabisa bila chenga.Hata sijui kwa nini niliweka loudspeaker au labda kwa sababu nilikuwa nishazoea kujiachia kwenye lile liAudi la kaka Ally muarabu wa Pemba
Basi baada ya kumaliza kuzungumza na Ally,gari zima walikuwa wamenitolea macho mimi huku wakionekana kuwa na wasiwasi sana na Mimi,tena walikuwa wakinongonezana nongonezana kwa sauti za taratibu sana ambazo ilikuwa vigumu kuzisikia lakini nilihisi neno makafara,Freemason na ushirikina yalikuwa yakitajwa tajwa kwenye minongono yao
Basi bwana,kulingana maelezo ya bro Ally kuwa damu ya Rehema inahitajika haraka sana ili Maya aweze kurudi katika hali yake ya kawaida niliamua nikifika nyumbani nioge fasta kisha niwahi nyumbani kwa Rehema nimkabidhi hii michupi yake ili mambo yarudi kama yalivyokuwa maana umaskini sio kitu kizuri aisee,yani siku mbili tu za kukosa usafiri wangu nimepoteza zaidi ya kilo 8 na usheee.
Nilipofika nyumbani nilienda moja kwa moja kufungua mlango wa nyumbani yangu ila nilipatwa na mshangao wa mwaka sana kwa yale niliyokuwa nikiyaona
Nilikuta zile kabechi na mimboga mingine ya majani ninayomuwekea Maya pale sebuleni kwa maya ikiwa imemwagwa kwenye meza yangu ya hapa sebuleni
Kiukweli sikujua hii mimboga imefikaje fikaje hapa ila kabla hata sijajua nifanye nini simu kutoka kwa bro Ally ikawa imeingia.Kama kawaida yake akaongea kwa lafudhi ya kipemba akisema"aisee masta hizo kabechi hapo sebuleni kwako ndio chakula chako cha siku nzima na usithubutu kula chakula kingine chochote kabla ya Rehema hajatwaliwa maana tutampoteza maya "
Sekunde kumi tu baada ya Ally kukata simu nikawa nimepokea simu kutoka namba ngeni ya Tigo,kabla hata ya mpigaji hajajitambulisha kwangu akawa anaongea mfululizo kuwa Rehema amekutwa akiwa amejinyonga chumbani kwake na kaacha barua akisema chanzo no mimi UMUGHAKA hivyo nahitajika kituo cha polisi haraka
Punde tu baada ya simu hii kukatika ikaingia simu nyingine ambayo mpogaji kabla hajasema chochote alijitambulisha kwamba anaitwa maya ama Farah ananiomba nifike nyumbani kwake ndani ya nusu SAA
Nilijikita nimeganda kama sanamu nisijue kipi cha kufanya ila kabla hata sijaamua chochote simu kutoka kwa Ally ikawa tena imeingia
Itaendelea.........
Majobless kujeni sasa akina Allency na wenzako
😂😂😂HahahAcha kabisa nilisema siji tena kusoma lkn ndo tayari nshakua msukule huku
"Mimi ndio rais samahani shetani nikikukopesha lazima ulipe hata kama utacherewa kidaiwaYani siti ya mbele tu inasababisha dada wa watu anapelekewa chupi ya kifo
Wewe vikitm wa magonjwa ya akil unatuchanganyasehemu ya 23:

Stress za mapenzi zitakutesa....acha mawazoHuwezi amini sijaisoma bado hii story mdogo wangu mzuri hata sijui pa kuanzia na huwa siyo kawaida yangu kupitwa na story za hivi..!!
na utajiri wa halali ni mgumu sanaHili nalo neno. Lakini mengine niliyojifunza katika simulizi hii ni kwamba;-
1. Pombe ni mwanaharamu;
2. Kuwa makini sana na zawadi za kupewa.
Masharti yakheWewe vikitm wa magonjwa ya akil unatuchanganya
Ale kaelbej bila kupika? Au akipika ataharibu?