Mwanamke hata awe na sura kama ya yule jimama Unono (wasomaji wa story za Joram Kiango mnaweza mkumbuka) ambapo akitabasamu utadhani analia ni mwanamke kamili maadam ana uke, tusiwaponde jamani
Mtumishi nakusalimia tu mimi...Oyoooooooohhh..
Ukitekwa, tekeka...😁
Haya sawaWapo niamini.
Mkuu naona umedhamiria kuwaponda 🤣🤣hahaha sio kweli aisee, imagine unakutana na lile demu bonge video vixen kwenye video ya rangirangi ya k2ga
Wanawake wa JF ni wabovu hata filter zinawakataa, waacheni tu waweke profile za kina Beyonce wapate nao watu wa kuchat naoTena yule jamaa alisema usione zile profile picture zinavutia vile mara wanajichatisha uwaone kuwa n pisikali kumbe n sura mbovu hatari Ila wanaichukulia JF Kama sehemu ya kujifariji mana hawana sehemu ya kupata faraja zaidi ya kukutana na madomo zege ya jf na kuchatishana.
Sasa nauliza inamana Hawa madem wanaojichatisha n kweli n sura ngumu na hawana watu wakuwafariji mpaka waje humu wakutane na madomo zege a.k.a nyuki wa mashineni na kupeana faraja?
Chizi huyo bila MaarifaKipi kinachokusababisha uanze kuwaita watu Misukule?
Upweke unakusumbua ndugu VIKTIM nakushauri kuondoka hasira na kupaniki kusiko na sababu fanya hivi
Vuta pumzi ndefu kisha hesabu 1 mpaka 5 kisha iache pumzi polepole itoke huku unahesabu 1 mpaka 5 kwa muda wa dakika 5 utaona mabadiliko mwilini ikiwemo mapigo ya moyo kushuka
Zoezi la kupiga miayo (YAWNING) piga miayo mfululizo kwa muda wa dakika 2
Zoezi la kuvuta pumzi polepole kaa kwa utulivu vuta pumzi polepole sana kisha unaiachia pumzi itoke polepole sana
Fanya mazoezi ya viungo,tembea mara kwa mara,kunywa maji mengi,epuka pombe, punguza matumizi ya chai ya rangi au kahawa,pata usingizi wa kutosha,fanya kazi kisha pumzika.
Utakaa sawa na utakuwa na amani ya moyo.
Sio Mimi sio mubaya aisee najitambua kama hawatutaki hata sisi hatuwataki Love Doctor To yeyeUkumbusho kwa wanaume wenzangu
Msihadaike na profile picture za wanawake wa humu jf, wengi wao ni wale wanawake wabaya mtaani wasiokuwa na soko ndio wanapata ahueni kuchat humu mitandaoni.
Huu ujumbe kaandika member fulani humu, eti ni kweli?
Wewe jamaa bhana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sehemu ya 24:
Niwe muwazi baada ya kumtajia Farah jina Zahra alionekana kama kupatwa na hudhuni sana sijui kwa nini ?
Nikaamua sasa nibadilishe maelezo na kumuomba angalau anifunulie nikabu yake niuone uso wake kabla sijamueleza nilimfahamu vipi Zahra
Alifikiria kama kwa dakika mbili kisha akaniauliza,hivi master siku hizi una shida gani kichwani maana umekuwa ukiniuliza maswali ya kiajabu ajabu sana mpaka nashindwa kukuelewa au ulikuja kuzuga zuga huku kwenye kusajili line ili uichimbue vizuri familia yetu,sasa kwa mfano sasa hivi unataka uuone uso wangu ili iweje ?
Nikaamua kumjibu tu kwa mkato" kama unataka nikueleze japo kwa ufupi ni vipi nimemjua Zahra nifunulie hiyo nikabu yako niuone uso wake"
Nikapiga hatua taratibu kuiendea meza yangu ila nikamsikia Farah akiniita kwa sauti ya hudhuni "master master master" nikageuka fasta akanionesha ishara ya kurudi nikarudi fasta dukani
Farah huku akionesha kulengwa lengwa na machozi akaniambia tafadhali master nieleze japo kwa ufupi ni vipi ulimfahamu zahra, ndugu yangu wa damu aliyekufa kifo cha ajabu sana
Itaendelea......
Ukisusa wenzio wanaliwa na kunawili.Sio Mimi sio mubaya aisee najitambua kama hawatutaki hata sisi hatuwataki
Embe ng'ong'o umenikumbusha mbali hahahahMwanaume ana ID kama embe ng'ong'o.
Anaonea wivu mwanamke kua na mguu wa bia.
🙆🙆🙆🙆
Wanaume wa siku hizi 🙆🙆🙆🙆🙆
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 jamaa kajilipua.Ningekuwa mimi ndio @UMUGHAKA ningemwambia mganga Rehema hafi kizembe namna ile. Hakuna damu hapa na mimi sifi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usha conclude??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamaa kajilipua.
Rehema ndiye mke wa Umughaka kwa sasa
Ahahahah nimefurah kuona uwepo ako..Mtumishi nilianguka bwana 😅😅Mtumishi nakusalimia tu mimi...
Uchambuzi yakinifu kabisa mkuu ✌️✌️!Uchambuzi wa story ya UMUGHAKA mpaka tulipofikia ep 23....
Kitendo Cha umughaka kushindwa kutoa kafara ....sio yeye Bali binti alilindwa na MUNGU
That's y tunashauriwa kumkumbuka MUNGU katika maisha yetu coz sometime tunakufa vifo ambavyo sio vyetu
Tunaishi kwenye jamii ambayo Ina Kila aina ya ushirikina
References
Movie ya Rango (animation)
" Always people believe in something .....they believe that tomorrow Will be better than yesterday & today"
You control water (magic [emoji16][emoji16][emoji16] ) ......you control everything
Sijui ataianza lini hio ya wakitanga tunaisubiria kwa hamu;Story inaelekea mwisho... episode za jamaa hazizid 26..... ana episode 2 story iiisheee...
Me nasubir ile ya mtoto wa kitanga alivyosababisha akafeli form six..
Nimewawazia hao wadada mliokutana nao then nikawaonea huruma kama watasoma hapa watajisikiaje masikini.Mimi binafsi nimekutana na members wawili wa kike wa humu jf, wote wawili hawakuwa na mvuto. Mmoja alikuwa bonge mweusi ana maziwa makubwa hivi na nyuma kapigwa pasi, sikumtafakari sana maana tulikuwa tunafanya mabadilishano ya bidhaa kwa pesa. Mwingine alikuwa mfupi mweupe angalau alikua na muonekano, humu jf profile picture yake kamuweka mwanamke mrembo sana tofauti na yeye alivyo.
So kwangu kwa kutumia sample ya hao wawili nimeconclude kuwa wanawake humu wengi wao sio wazuri, labda wenzangu kama walikutana na warembo.
Anampenda mke wake hadi jamaa kaamua kufa mwenyewe au Ali abaki na pesa ila Ray hafi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usha conclude??
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Usiwaseme vibaya mkuu, hiyo ni kwa maoni yako. huyo demu unayesema anamtindi kuna mtu anaweza akamuona mzuri tu. Mfano mimi sipendi matako makubwa, sipendi demu mweupe, napenda demu mwenye umbo na rangi kama ya msanii rubyNimewawazia hao wadada mliokutana nao then nikawaonea huruma kama watasoma hapa watajisikiaje masikini.