Kipi kinachokusababisha uanze kuwaita watu Misukule?
Upweke unakusumbua ndugu VIKTIM nakushauri kuondoka hasira na kupaniki kusiko na sababu fanya hivi
Vuta pumzi ndefu kisha hesabu 1 mpaka 5 kisha iache pumzi polepole itoke huku unahesabu 1 mpaka 5 kwa muda wa dakika 5 utaona mabadiliko mwilini ikiwemo mapigo ya moyo kushuka
Zoezi la kupiga miayo (YAWNING) piga miayo mfululizo kwa muda wa dakika 2
Zoezi la kuvuta pumzi polepole kaa kwa utulivu vuta pumzi polepole sana kisha unaiachia pumzi itoke polepole sana
Fanya mazoezi ya viungo,tembea mara kwa mara,kunywa maji mengi,epuka pombe, punguza matumizi ya chai ya rangi au kahawa,pata usingizi wa kutosha,fanya kazi kisha pumzika.
Utakaa sawa na utakuwa na amani ya moyo.