Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]we jamaa mjinga sana
 
Hapa utakuwa umechanganya , ule ufaulu wa kuingia f4 na f6...
Kuna baadhi ya shule zilikuwa na specifications za masomo kuanzia darasa la tatu... Na unakuta mtu anajiita kabisa yeye ni Pcb au pcm or whatever... Ilihali bado yupo O'level..[emoji848]
mkuu uko siriasi au unatania?darasa la 3 pcm au pcb?kivipi?ebu fafanua kidogo.labda la 3 la mkoloni..
 
Mkuu this is news to me! Nimesoma pcm advance ila sijawahi kujua kama Kuna specification za combination kuanzia o level, nachojua Kuna arts na science tu kipindi hicho si tunasoma!!!

I stand to be corrected hapa tupo kujifunza
Soma vizuri maelezo...
"Nimesema ni ile hali ya mwanafunzi kujiita/kujichagulia... Kusoma masomo ya science au arts haikunyimi nafasi ya wewe mwenyewe binafsi kujiita PCM/PCB /HGL ili hali bado upo O'level, na unaweza ukaja ukascore kwenye hayo hayo masomo uliyochagua!
Mi binafsi nimesoma PCB Advance, though nilipokuwa O'level sikuchagua masomo (I mean nilisoma yote) ...
Hii ni kwasababu shule yetu kidogo ilikuwa iko vizuri kwenye sehemu zote (TABORA BOYS(, that's why...
Ila Kuna baadhi ya shule huwa zinastruggle kwenye suala Zima la practicals ndo maana unakuta watu wanaanza kujitenga mapema!
 
Kama mimi nilipokuwa o level nilkuwaga na likombi limoja babukubwa nilikuwa naliita PCMBG hapo niliongeza masomo mawili(english na kiswahili) yakawa jumla saba ila academic akaniambia lazima niwe na masomo kuanzia nane ikabidi niongeze CIVICS
 
Dah ndugu yetu kapitia mambo makubwa asee ila Hilo la Kuuza kiwanja pamoja na Jumba lako ili ukasomeshe asee hapo Mzee wetu umughaka Ulivunja miiko 🤣🤣🤣
 
Boss tuelezee kwa undani zaidi tupate kujifunza ya upande mwingine. Maana watu wamekuwa wakihadaa wenye pesa pasipo kujua chimbuko la pesa nyuma.

Je mwisho wa siku nini huwakumba wenye hela za kishirikina?
 
Huko Tabora Kuna Jamaa ameliwa kiboga hadharani Sasa naisi na wewe ndio unataka, maana una nyege sana kuingilia Uzi wa Wanaume.
 
Duuh, mwamba Unaboa kinoma
 
Jamani kuandika story na kuihariri vizuri na kukumbuka matukio yote kwa ufasaha sio mchezo mchezo aisee. Mkuu UMUGHAKA much appreciation aiseee you Rock

Nimeliona hilo mimi wakati najaribu kufanya recap ya matukio yaliyonipata kipindi kile nakua kua nikiwa na Binti mrembo sana aliyeitwa Monica.

Duuh nimeona ugumu wake pakubwa sana. Matukio sio ya muda sana kiasi cha miaka sita hivi iliypita lakini issue kubwa ipo kwenye kukumbuka matukio vyema.

Mimi most of the Time nimeongeza na chumvi na ndimu kidogo. Maana unakua unakumbuka location tu ila conversation kukumbuka Ngumu labda zile Main main sana.

Ndomana nimekuja kutoa kongele nyingi sana kwa mkuu UMUGHAKA kwa moyo wake wa kujitoa japo kazi sio kitoto wakuu

Gari alisukumwi ukiwa ndani, toka ujionee mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…