Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Mbona mi watu wa jamii forum huwa sikutani nao ...nikiwa kwenye mwendo Kasi au haice huwa nachungulia chatings siwaoni [emoji23]
Ni by coincidence nishakutana na mmoja tulikaa siti moja toka Mwanza- Dar december hii yeye alipandia Singida akashuka dodoma....basi njia nzima anaongea na simu anaongea na mpenzi wake. Ikatokea 3 days after kuna mtu akaanzisha uzi anaomba ushauri mambo yale yale alikuwa anaongea kwa simu kumuuliza kumbe ndio yeye ila pale pale sikumjua.
 
Naamini masta hajafa ! Nne kasoro hiiπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!!


😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴
 
Kabisa siku haijaisha bado
 
leo Bila Bila,master hajaweka episode,, nmetoka kuchungulia kule kijiweni sikuoni [emoji2]
 
Mkuu samahani kwa swali chonganishi,mwanza ulifanikiwa kurudi na ankoli??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…