Ueleze UMUGHAKA kakupendea nn....Sasa napruvujee?
Me sio English figure siku hizi. Ila nlikuwa slim km sindano. 🤣Nawapendraga sana nyie English figure, mkiamua kumsusia MTU mnampa yote yan,team no minyama nyama,..yeleuwiiii😋
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Weee!...naomba ubakiage hivyo hivyo,huwez jua labda tunaeza kukutanaga 😂
Uliyajuaje ayo yote mkuuKuna jamaa yangu Mpemba mmoja hivi ana daladala(Nissan Civilian)zake kibao mjini, ana duka la simu pale Aggrey na pia ana Bakery maeneo ya Ilala Bungoni. Yeye tabia yake huwa analaza PESA chooni wiki moja kabla kwa ajili ya kuwalipa mshahara wafanyakazi wake.
Na kesho tupo Moulineaux Stadium [emoji909] na Mbwa MwituHatari mkuu leo ndo leo...
Hajanipenda badoUeleze UMUGHAKA kakupendea nn....
Wa rikiboy huwa unafuatilia ule wa Kimasihara [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duu huu uzi ndo unvyuazi wengi kuliko zote au mi ndo sifatiliagi vyuazi? Maana balaa
Sidhani kama unafika hata nyumbani labda utoe fungu la kumi kabla hujapokea mshahara😄Uliwaza kama mimi mkuu hapo niliposoma habar ya 290k +10k.. unabeba 30k unapelekea madhabahun jini likapambane na mwenye dunia yake
Yule mwamba alihamia telegram hivyo tuliovutiwa na simulizi tukahama nae na kule telegram alikua anatoza hela kidogo. Ile story ilikua moto sana aseeUyo mdau @lwandamagele nakumbuka anao uzi kabisa anaelezea story ya maisha yake kule entertainment lakini haikuisha ilifika ep ya 50.
Uko mpaka anaambiwa amtoe mkewe kafara haikifikia. Sasa sijui mwendelezo naupata wapi huu mkuu
Tafadhari.
Kwa uelewa Wangu(Low thinking capacity)
Ally mpemba alikua anaitumia nyota ya UMUGHAKA kukamilisha mambo yake ya kujipatia utajiri, yaani kulikua na Connection kubwa sana kati ya pete aliyoivaa Master na ally mpemba mwenyewe.
Na ndio maana Master alikua akizingua tu Ally mpemba na yeye uku mambo hayaendi poa kiasi cha kumchukia kabisa Master.
Refer pia kuna Sehemu Ally alimlalamikia Master kwamba anataka kumfanya Maskini. Pale master alipovunja Mashart ya kutopakia mtu asiye wa ukoo wa Ally siti ya mbele
Master alikua amelibeba jini la Ally mpemba na ndo lilikua linampa Blindness ya kumpa pesa kidogo kusudi asishtukie mchongo mzima. Alikua akutumika kama chambo na pia kama Ndoano.
Utajiri una siri nyingi sana Wajameni na madubuwasha ya Ajabu. Usipo ya Face huwezi kuelewa kamwe.
Ahaa kumbe so kule telegram aliimaliza yote au bado inaendelea kutiririkaYule mwamba alihamia telegram hivyo tuliovutiwa na simulizi tukahama nae na kule telegram alikua anatoza hela kidogo. Ile story ilikua moto sana asee
Bado hawajakutana na maisha wananyonya kwa wazaziUna high thinking capacity Mkuu Sema watu wengi humu wanaisoma hii Simulizi kama gazeti tu bila kufikiria kwa kina.
Mim tayari nimeanza safari ya master.nimetoka kutengeneza pete.sasa naingia kariakooNdio basi tena majuto mjukuu ila aisee the devil is real. Kule kusahau sahau ni kazi ya devil, napata mashaka kuwa master alikuwa target yao ila walianza kwa kumzubaisha na mambo ya usimamizi ili ajae kwenye 18 alipuliwe. Unakumbuka ile statement ya mpemba kuwa master ana nyota nzuri.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mim tayari nimeanza safari ya master.nimetoka kutengeneza pete.sasa naingia kariakooView attachment 2505542
Kule iliisha na kama nakumbuka iliishia episode ya 93 jamaa alitoa kitabu kabisaAhaa kumbe so kule telegram aliimaliza yote au bado inaendelea kutiririka