Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Kuna jamaa yangu Mpemba mmoja hivi ana daladala(Nissan Civilian)zake kibao mjini, ana duka la simu pale Aggrey na pia ana Bakery maeneo ya Ilala Bungoni. Yeye tabia yake huwa analaza PESA chooni wiki moja kabla kwa ajili ya kuwalipa mshahara wafanyakazi wake.
Uliyajuaje ayo yote mkuu
 
Kwa uelewa Wangu(Low thinking capacity)

Ally mpemba alikua anaitumia nyota ya UMUGHAKA kukamilisha mambo yake ya kujipatia utajiri, yaani kulikua na Connection kubwa sana kati ya pete aliyoivaa Master na ally mpemba mwenyewe.

Na ndio maana Master alikua akizingua tu Ally mpemba na yeye uku mambo hayaendi poa kiasi cha kumchukia kabisa Master.

Refer pia kuna Sehemu Ally alimlalamikia Master kwamba anataka kumfanya Maskini. Pale master alipovunja Mashart ya kutopakia mtu asiye wa ukoo wa Ally siti ya mbele

Master alikua amelibeba jini la Ally mpemba na ndo lilikua linampa Blindness ya kumpa pesa kidogo kusudi asishtukie mchongo mzima. Alikua akitumika kama chambo na pia kama Ndoano.

Utajiri una siri nyingi sana Wajameni na madubuwasha ya Ajabu. Usipo ya Face huwezi kuelewa kamwe.
 
Uyo mdau @lwandamagele nakumbuka anao uzi kabisa anaelezea story ya maisha yake kule entertainment lakini haikuisha ilifika ep ya 50.

Uko mpaka anaambiwa amtoe mkewe kafara haikifikia. Sasa sijui mwendelezo naupata wapi huu mkuu

Tafadhari.
Yule mwamba alihamia telegram hivyo tuliovutiwa na simulizi tukahama nae na kule telegram alikua anatoza hela kidogo. Ile story ilikua moto sana asee
 
Kwa uelewa Wangu(Low thinking capacity)

Ally mpemba alikua anaitumia nyota ya UMUGHAKA kukamilisha mambo yake ya kujipatia utajiri, yaani kulikua na Connection kubwa sana kati ya pete aliyoivaa Master na ally mpemba mwenyewe.

Na ndio maana Master alikua akizingua tu Ally mpemba na yeye uku mambo hayaendi poa kiasi cha kumchukia kabisa Master.

Refer pia kuna Sehemu Ally alimlalamikia Master kwamba anataka kumfanya Maskini. Pale master alipovunja Mashart ya kutopakia mtu asiye wa ukoo wa Ally siti ya mbele

Master alikua amelibeba jini la Ally mpemba na ndo lilikua linampa Blindness ya kumpa pesa kidogo kusudi asishtukie mchongo mzima. Alikua akutumika kama chambo na pia kama Ndoano.

Utajiri una siri nyingi sana Wajameni na madubuwasha ya Ajabu. Usipo ya Face huwezi kuelewa kamwe.

Una high thinking capacity Mkuu Sema watu wengi humu wanaisoma hii Simulizi kama gazeti tu bila kufikiria kwa kina.
 
Ndio basi tena majuto mjukuu ila aisee the devil is real. Kule kusahau sahau ni kazi ya devil, napata mashaka kuwa master alikuwa target yao ila walianza kwa kumzubaisha na mambo ya usimamizi ili ajae kwenye 18 alipuliwe. Unakumbuka ile statement ya mpemba kuwa master ana nyota nzuri.
Mim tayari nimeanza safari ya master.nimetoka kutengeneza pete.sasa naingia kariakoo
20230204_085914.jpg
 
Back
Top Bottom