Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Achana nae huyo.....anakuchosha tu, ukijibizanq na mpumbavu na wewe unaonekana mpumbavu....muache abwabwaje lkn usimjibu, plz!
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti kujichekesha
 
Sasa umu hujasema kuhusu maya na farah sijui zahara alikuwa mtu mmoja?au hukujua
Maya ni ndugu wa zahara ambaye aliuliwa na Ally akamfanya msukule wake wa kumletea utajiri. Unakumbuka kipindi master anamuuliza zahara kuhusu kuwa na ndugu pacha ... ndo akajibiwa alishakufa. Alipoulizwa alimuonea wapi yeye akapotezea kwamba ni kwenye album aliyooneshwa na Ally
 

Ahaaaa Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…