Eratosthenes
Senior Member
- Mar 13, 2013
- 102
- 114
Finally the end! Thanks #UMUGHAKA[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana nae huyo.....anakuchosha tu, ukijibizanq na mpumbavu na wewe unaonekana mpumbavu....muache abwabwaje lkn usimjibu, plz!Nimekwambia screen short mahali ambapo niliandika nikasema nilimaliza form 6 mwaka 2019,Acha blah blah za kijinga.
Hivi huwa mnawezaje kuweka mabando yenu kutwa kujazana kwenye nyuzi za wanaume tena mwanaume mwenyewe wa kikurya na kuja kujichekesha chekesha?,How comes?.
Kwa bahati mbaya kutembea na mwanaume mwenzio ni Dhambi na laana vinginevyo ungeenda kuhadithia mashoga zako!
Nimekwambia screen short mahali ambapo niliandika nikasema nilimaliza form 6 mwaka 2019,Acha blah blah za kijinga.
Hivi huwa mnawezaje kuweka mabando yenu kutwa kujazana kwenye nyuzi za wanaume tena mwanaume mwenyewe wa kikurya na kuja kujichekesha chekesha?,How comes?.
Kwa bahati mbaya kutembea na mwanaume mwenzio ni Dhambi na laana vinginevyo ungeenda kuhadithia mashoga zako!
🤣🤣🤣🤣🤣Namba 6 umemkosea mkuu
😂😂😂😂😂😂😂😂
Misa ya watoto dadaInapendeza sana kaka! Kanisani saa 5 hii mbona mmechelewa sana??
Misa ya watoto dadaInapendeza sana kaka! Kanisani saa 5 hii mbona mmechelewa sana??
Mapema sana kusema hajabadilika. Ndo kwanza yuko moro jamaa dar unategemea nini hapoAisee ulipata mwanamke umemsomesha na hajabadilika sio poa
Mjibu kama alivyokuuliza 😉😉😉😳Nisemeje mkuu
One arrogant fool, you are mentally sick, seek some help ASAP before we lose you.Mtu mwenyewe muendesha bodaboda na sifa yenu kuu mnanuka pia hamjielewi.
Hakuweza kunitafuta kwasababu sikuwa na koneksheni nae,kumbuka koneksheni ilikuwa ni bangiri na ile Pete!
Maya ni ndugu wa zahara ambaye aliuliwa na Ally akamfanya msukule wake wa kumletea utajiri. Unakumbuka kipindi master anamuuliza zahara kuhusu kuwa na ndugu pacha ... ndo akajibiwa alishakufa. Alipoulizwa alimuonea wapi yeye akapotezea kwamba ni kwenye album aliyooneshwa na AllySasa umu hujasema kuhusu maya na farah sijui zahara alikuwa mtu mmoja?au hukujua
Maya ni ndugu wa zahara ambaye aliuliwa na Ally akamfanya msukule wake qa kumletea utajiri. Unakumbuka kipindi master anamuuliza zahara kuhusu kuwa na ndugu pacha ... ndo akajibiwa alishakufa. Alipoulizwa alimuonea wapi yeye akapotezea kwamba ni kwenye album aliyooneshwa ba Ally
Ni kama vile ndugu zake walijua ndugu yao amekufa kifo halali kumbe mwenzao amemtoa kafara apate helaAhaaaa Sawa
🤣🤣🤣🤣🤣 nimechekaSasa wazimu umekujaje hapa? Mkuu umekula kweli mchana?
Nimuogope rehema kwani anang'ata?
Linaogopwa jini tuu
Kweli jini naliogopa kweli.🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka
Eti linaogopwa jini tu🤣🤣🤣