Raggy Singo
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 308
- 292
Yule mwamba alihamia telegram hivyo tuliovutiwa na simulizi tukahama nae na kule telegram alikua anatoza hela kidogo. Ile story ilikua moto sana asee
Hapana mungu hasikilizi wakole pekee lakini ukiwa mlokole unakuwa umejisalimisha kwa Mungu hatakama Kuna nikataba ya kishetani uliingia na Kuna mtu anakwinda sio rahisi kudhurika Mungu anakulinda.Kumbe Mungu husikiliza walokole pekee![emoji848] Nilikuwa sijui.
Acha tuMental illness is real mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We muache tu
Hatari mbwa mkalii
Unacheka nini?
Unabeba zege,,, amani ya moyo inatoka wapi??Amani ya moyo yatosha Mkuu usione watu wana magari mazuri na wamependeza lakini moyoni wanaishi maisha ya majuto makubwa. Beba zege na endesha bodaboda na una amani ya moyo
Unabeba zege,,, amani ya moyo inatoka wapi??
Una smartphone halafu unalalamika kwamba umekosa amani ya moyo kisa unabeba zege? Nitakuambia nini cha kufanya.Unabeba zege,,, amani ya moyo inatoka wapi??
Unavyobishana na huyo dogo ambaye hajielewi. Sasa kama Umughaka unataka kumpa tunda yeye kinachomuuma ni kipi???ππππUnacheka nini?
Nashangaa. Nshampuuza simjibu tenaUnavyobishana na huyo dogo ambaye hajielewi. Sasa kama Umughaka unataka kumpa tunda yeye kinachomuuma ni kipi???ππππ
Kama huyo mola kaniacha mpaka maisha yakanichanganya,,, kwa nn na mm nisimuache?"HAYA MAISHA YASIJE KUKUCHANGANYA UKAABUDU WENGINE, UKAMUACHA MOLA"
"MAXMILIAN BUSHOKE"
Ubaya wa shetani ni upi? Kila siku mnamsema shetan lakn cjawahi kuona shetani akijiteteaShetani mbaya sana.
Huu mchezo alimchezea hadi Yesu Kristo kwa kumwambia amwabudu ili ampe milki yote ya Dunia.
Yesu akategua mtego kwa Neno.,kwamba imeandikwa Umsudujie Mungu pekee.
......
Hili liwe somo kwetu wanadamu,
Neno la Mungu likae kwa wingi ndani yetu.
Sent using Jamii Forums mobile app