Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Kumbe Mungu husikiliza walokole pekee![emoji848] Nilikuwa sijui.
Hapana mungu hasikilizi wakole pekee lakini ukiwa mlokole unakuwa umejisalimisha kwa Mungu hatakama Kuna nikataba ya kishetani uliingia na Kuna mtu anakwinda sio rahisi kudhurika Mungu anakulinda.
Vitu Kama kwenda kwa waganga kutoa kafara ni kufanya mambo ambayo Mungu hapendi ukiokoka unaomba msamaha(Toba) na kuanza upya unakuwa umezaliwa upya mkuu...NARUDIA TENA MUNGU ANAMPENDA KILA MTU. Lakini ni afadhali kumshauri mtu awe rafiki wa Mungu kuliko kuwa rafiki wa shetani rejea kichwa Cha uzi huuu....HATUTAKIWI KUMUAMINI SHETANI NAKUWA NA UKARIBU NAYE.over
 
Shetani mbaya sana.

Huu mchezo alimchezea hadi Yesu Kristo kwa kumwambia amwabudu ili ampe milki yote ya Dunia.

Yesu akategua mtego kwa Neno.,kwamba imeandikwa Umsudujie Mungu pekee.


......
Hili liwe somo kwetu wanadamu,
Neno la Mungu likae kwa wingi ndani yetu.


Sent using Jamii Forums mobile app
Ubaya wa shetani ni upi? Kila siku mnamsema shetan lakn cjawahi kuona shetani akijitetea

Hii hukumu ya upande mmoja siikubali kabisa.
 
Back
Top Bottom