Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Umughaka amenifundisha mambo mawili 1.Hela za ujambazi hazidumu 2.Utajiri wa majini/ushirikina sio endelevu.
Kweli kabisa mkuu, hao wanao abudu mapete na hirizi ndiyo wanafanya miaka inakimbia sana.
 
Sku hz hapa town kila nikipishana na gari afu nkaona dereva ni mwarabu,,, naona kama nmeonana na ally mpemba

Afu kushoto nkimwona mwanamke kavaa kininja,, najisemea maya yuleee,, THOUGH SIAMINI KAMA KUNA UCHAWI.
Kama una amini kuna shetani basi amini kuna uchawi na ushirikina wa kila aina. Kuamini kama uchawi upo au laa hakupunguzi wa kuongeza imani. Ila ni kukufanya wewe uongeze juhudi za kumtafuta Mungu na kumtumainia kama mlinzi wako
 
Leo Nimepita KARIAKOO MTAA WA MKUNGUNI… Nimethaminisha Migahawa yote ya mtaa ule na kukumbuka Details kwamba Ally Mpemba ana Range Rover, na ana pesa za kutosha hivyo hawezi kuwa na Mgahawa Uchwara… napata hisia Mgahawa wa Ally Mpemba ni ule uliopo ndani ya lile Jengo La AL-Uruba🤔
 
Utanyongwa ww na Ally mpemba ohooooooo
 
Kama una amini kuna shetani basi amini kuna uchawi na ushirikina wa kila aina. Kuamini kama uchawi upo au laa hakupunguzi wa kuongeza imani. Ila ni kukufanya wewe uongeze juhudi za kumtafuta Mungu na kumtumainia kama mlinzi wako
Wapi nmeandika kwamba naamini kuna mungu???
 
Wakuu, Safari ya UMUGHAKA yakukutana na Ally Mpemba ilianzia hapa Bugurunyi Rozana, Leo wakati napita nikaliona Hili jengo La tigo nikamkumbuka mwanangu Mwenyewe UMUGHAKA, nikaona nipige picha kidogo ingawa camera yangu Miyeyusho[emoji16][emoji16][emoji16] anyway hii ni kwa wale mliopo Mkoa na mmekua hamjui baadhi ya Location alizozitaja.
 
Story nzuri Sana na Ina mafundisho makubwa.
 
Nimeishia sehemu ya 24...
lakini natafuta sehemu zinazofuata sizioni ila nakutana na MICOMMENT kibao hadi inaboa
 
Inavyoonekana Maya aliuliwa na kugeuzwa msukule ambapo yule jini aliyekuwa anapenda kwenda pale kwa Ally alikuwa anamtumia Maya kwa shughuli zake binafc hata kule kunyanduliwa kwa msukule haukuwa msukule lilikuwa linakanyangwa jini.na ndo mana Kuna cku pale dukani FARAA Alimcfia MASTER kwa kumwambia kwa matani kuwa" mtu mwenye nguvu zake".kwakweli story hii imenijenga sana.ubarikiwe sana Master.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…