Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

nipo hapa mweshimiwa tunakushukuru wewe na ilani ya chama nikuombe ukanyage twende tumechelewa sana...boma yeee boma liwanza this case

nipo hapa mweshimiwa tunakushukuru wewe na ilani ya chama nikuombe ukanyage twende tumechelewa sana...boma yeee boma liwanza this case is open
🙄 yaani nyie wawili...kha!!
 
post zote za mwanzilishi zimefutwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], sijui katishwa na ally au namna vipi
 
UMAGHAKA
Aje na mzigo mwingine..kumepoa aisee..
Ule mzigo wa Goba nao umeisha
 
Wiki iliyopita nikiwa kwenye pilikapilika zangu za Bodaboda kuchukua mzigo wa mteja wangu pale Kkoo,nikakutana na dada mmoja ambaye tulifahamiana wakati nikiwa nafanya kazi za Ally Mpemba,sasa baada ya kuonana kama mjuavyo kwakuwa ilikuwa ni muda mrefu tukabadilishana namba za simu.

Sasa jana mida ya saa 5 usiku kuna mtu akanipigia simu ikiwa ni namba ngeni ambayo haikuwa kwenye moja ya watu niliowasevu,baada ya kuipokea ndipo kumbe alikuwa Brother Ally Mpemba.

Daaah!,nilipigwa na butwaa kwasababu sikuwa na namba yake na yeye hakuwa na namba yangu,nilipomuuliza kaipata wapi namba yangu kaniambia kapewa na yule dada na hiyo ni baada ya wao kupiga stori.

So,jamaa kaniambia leo 23.3.2023 tuonane kuna mambo ya msingi tuzungumze.

Nitaonana nae na nitawajuza
 
Samaki unarudishwa nyavuni
To yeye Ushimen Santos06 @njooni muweke kambi huku
 
Wiki iliyopita nikiwa kwenye pilikapilika zangu za Bodaboda kuchukua mzigo wa mteja wangu pale Kkoo,nikakutana na dada mmoja ambaye tulifahamiana wakati nikiwa nafanya kazi za Ally Mpemba,sasa baada ya kuonana kama mjuavyo kwakuwa ilikuwa ni muda mrefu tukabadilishana namba za simu.

Sasa jana mida ya saa 5 usiku kuna mtu akanipigia simu ikiwa ni namba ngeni ambayo haikuwa kwenye moja ya watu niliowasevu,baada ya kuipokea ndipo kumbe alikuwa Brother Ally Mpemba.

Daaah!,nilipigwa na butwaa kwasababu sikuwa na namba yake na yeye hakuwa na namba yangu,nilipomuuliza kaipata wapi namba yangu kaniambia kapewa na yule dada na hiyo ni baada ya wao kupiga stori.

So,jamaa kaniambia leo 23.3.2023 tuonane kuna mambo ya msingi tuzungumze.

Nitaonana nae na nitawajuza
One man down i repeat one man down
 
Mkuu huogopi[emoji1787][emoji1787]
 
Ngoja tuone sema nilimpenda ulivomzaza yule msukule wa ally mpemba
 
Back
Top Bottom