Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Wiki iliyopita nikiwa kwenye pilikapilika zangu za Bodaboda kuchukua mzigo wa mteja wangu pale Kkoo,nikakutana na dada mmoja ambaye tulifahamiana wakati nikiwa nafanya kazi za Ally Mpemba,sasa baada ya kuonana kama mjuavyo kwakuwa ilikuwa ni muda mrefu tukabadilishana namba za simu.

Sasa jana mida ya saa 5 usiku kuna mtu akanipigia simu ikiwa ni namba ngeni ambayo haikuwa kwenye moja ya watu niliowasevu,baada ya kuipokea ndipo kumbe alikuwa Brother Ally Mpemba.

Daaah!,nilipigwa na butwaa kwasababu sikuwa na namba yake na yeye hakuwa na namba yangu,nilipomuuliza kaipata wapi namba yangu kaniambia kapewa na yule dada na hiyo ni baada ya wao kupiga stori.

So,jamaa kaniambia leo 23.3.2023 tuonane kuna mambo ya msingi tuzungumze.

Nitaonana nae na nitawajuza
Hivi mkuu Ally mpemba alijua kwamba umeweka hii habari hapa jamvini? Na je ulitumia codes kuficha identity?
 
Hivi mkuu Ally mpemba alijua kwamba umeweka hii habari hapa jamvini? Na je ulitumia codes kuficha identity?
Hapana hajafahamu mkuu,matajiri hawana muda na JF,hata yeye mwenyewe tu kwenye simu yake hana app inayoitwa JF,huku tupo mimi na wewe makabwela,hata mimi miaka hiyo nilikuwa situmii hii app,pia natumia kodi siyo rahisi yeye kufahamu na kumbuka jina la Ally si lake halisi ni jina nililompa huku tu,angekuwa amejua leo nilipokutana nae angeniambia ila tumezungumza mambo mengine kabisa
 
Okay shukrani sana, imekaa vizuri kama.ulitumia code

Matajiri wapo humu asikwambia mtu, kuna mmoja niliunda nae urafiki humu tukawa tunataniana, ajabu siku tulipokutana nilibak mdomo wazi

Nimkitaja nadhani 75% ya watu wanamjua au wameshamuona kwenye TV au vyombo vingine vya habari
 
Ok hongera kukutana na Kigogo na bila shaka mambo yako ni vyedi mkuu
 
Story ilivyo kata ukapotea ,me natumia browser sasa nilivyo weka kwenye new post nimeuona nimeufungua nakuta umeonana na ally mpemba leo.

Sasa wadau wote watakuja sio mda hapa kuweka kambi.
Mkuu simulizi zipo za kutosha sema sitaki kusimulia kwasababu ya makurumbembe ya humu nengi ni mapumbavu
 
Tutapata marekebisho huko badae ya uwezo wa kufunga thread yako mpk umalize ni suala la mda tu.
Wakiweka kitufe cha kupiga block kisawasawa si hii ya sasa mtu unampiga block lakini bado anapata acces ya kutazama uzi wako nitaanza kusimulia kwasababu kuna wapumbavu wanakera sana na ukizingatia silipwi,haaaa wapi ngoja nitulie na simulizi zangu maadamu haziozi
 
Tunamiss simulizi zako za kweli na zenye kujenga utarudi lini mkuu?

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Mimi hata kesho naweza kurudi,simulizi ninazo mbili nzito,ila tatizo siwezi kutumia muda wangu bure + bando langu halafu mapumbavu yasiyokuwa na mbele wala nyuma kutwa ni kunitukana mkuu,bora hata yangekuwa yanakosoa najua ni sehemu ya kazi ila yenyewe yananitukana kana kwamba yananinunulia bando na kunifidia muda wangu,huu ujinga sitaki kabisa kuufanya sasa hivi!,na mimi ni bora niwe mtazamaji tu hapa JF
 
Wakiweka kitufe cha kupiga block kisawasawa si hii ya sasa mtu unampiga block lakini bado anapata acces ya kutazama uzi wako nitaanza kusimulia kwasababu kuna wapumbavu wanakera sana na ukizingatia silipwi,haaaa wapi ngoja nitulie na simulizi zangu maadamu haziozi
Fanya mengine hata sie tumechoka kusoma pumba zako boss jikatae tu na ujue hakuna fanani bila hadhira kama ulifanikiwa kuona milango ya madarasa utakua unajua. Kaa nazo jisimulie mwenyewe humu kuna vingi vyenye sense vya kusoma sio uongo wako
 
Back
Top Bottom