Umesoma mpaka mwisho ngapi??Aisee simulizi ni nzuri pole sana umaghuka pia asante sana kwa kutuelimisha hakika umenipa funzo kubwa sana na mungu hakubaliki 🙏
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesoma mpaka mwisho ngapi??Aisee simulizi ni nzuri pole sana umaghuka pia asante sana kwa kutuelimisha hakika umenipa funzo kubwa sana na mungu hakubaliki 🙏
27Umesoma mpaka mwisho ngapi??
Nitag ktk hzo zingine mi nimeishia 20 nakuomba ili niweze kusoma ndugu yangu
Sijui hata namna ya kutag cha kufanya naomba namba yako wa whatsap nizicopy nikulushiye sawaaaNitag ktk hzo zingine mi nimeishia 20 nakuomba ili niweze kusoma ndugu yangu
0626310393 nitashukuru sanaSijui hata namna ya kutag cha kufanya naomba namba yako wa whatsap nizicopy nikulushiye sawaaa
Ndugu. nitumie na Mimi Kwa namba 076257430/0623501011Sijui hata namna ya kutag cha kufanya naomba namba yako wa whatsap nizicopy nikulushiye sawaaa
Bado tu hujavionaNdugu. nitumie na Mimi Kwa namba 076257430/0623501011
Kuandika aandike mwingine tena haijalishi ni true story au ni chakubumba, haikuwa na ulazima wa kuisoma, mbona kuna threads nyingi tu huwa twapotezea kuzisoma 😥😥 😥Fanya mengine hata sie tumechoka kusoma pumba zako boss jikatae tu na ujue hakuna fanani bila hadhira kama ulifanikiwa kuona milango ya madarasa utakua unajua. Kaa nazo jisimulie mwenyewe humu kuna vingi vyenye sense vya kusoma sio uongo wako
Pigia jibu mstari [emoji1787][emoji1787][emoji1787]UMUGHAKA mkuu hivi kwanini mambo mengi ya kishirikina huwa yanahusishwa na lugha ya kiarabu?
Nieleweshwe mkuu kiukweli huwa sielewiPigia jibu mstari [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hao wanaoabudu dini inayotumia lugha hiyo kuabudu ndy washirikina namba Moja dunianiNieleweshwe mkuu kiukweli huwa sielewi
😂😂basi bana yaisheHao wanaoabudu dini inayotumia lugha hiyo kuabudu ndy washirikina namba Moja duniani
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23]basi bana yaishe
We nae get life or go to hell unareply leo kwenye comment ya zama za mawe za kwanza af unajiona mjanja ujauaji ukizid ni ushamba pita kule mazafantaKuandika aandike mwingine tena haijalishi ni true story au ni chakubumba, haikuwa na ulazima wa kuisoma, mbona kuna threads nyingi tu huwa twapotezea kuzisoma 😥😥 😥
Uzuri sio lazima usome, ungepotezea tu chief
We nae get life or go to hell unareply leo kwenye comment ya zama za mawe za kwanza af unajiona mjanja ujauaji ukizid ni ushamba pita kule mazafanta
Ahsante kwa Ushauri mkuu nitaufanyia kaziMimi ni mgeni jamii forums ila huyu umughaka ni mwamba wa simulizi sijaona mwingine, halafu kuna kitu zaidi kuhusu huyu mtu, mimi siamini ni mtu wa kawaida, nadhani ana elimu ya juu hata namna ya uandishi wake, au ana IQ ya juu. Nakushauri mkuu uandike vitabu vyako vyakutosha utauza, au fungua youtube channell yako uwe unatoa simulizi hizi, sio lazima ujioneshe sura bli unaweza hide your Identity na bado ukawa una contents nzuri zakukuza channel yako na kipato pia. Big up