Ndiyo naomba unielekeze leo siku ya tano natafuta lakin cjapata mtu wa kunielekeza nafanyaje kuvifatilia ya kwanza mpaka ya mwishoUnataka uianzie mwanzo ama?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo naomba unielekeze leo siku ya tano natafuta lakin cjapata mtu wa kunielekeza nafanyaje kuvifatilia ya kwanza mpaka ya mwishoUnataka uianzie mwanzo ama?
Kasema hajui kuzitafutaMkuu kwani huzioni hapo mwanzo ya kwanza hadi ya ishirini?
Kasema hajui kuzitafuta
Duuh asee hujanielewa sijui mkuu yani n hivi Mimi sijawah kutumia jf ko sijui naipataje hyo hadithi ktk mtiririko nafikiri jf iko tofaut na mitandao mingine nimejarbu kuingia ktk akaunt ya umughaka nakutana na koment tuu na baadhi ya vipande unaweza kukuta mara 20 alf 27 ko haina mtiririko mzuri au kama unaweza kuntag kuanzia sehemu ya kwanza mpaka ya mwisho ntashukuruMkuu kwani huzioni hapo mwanzo ya kwanza hadi ya ishirini?
Mkuu ukurasa wenye stori ni huu ukiscrol kuanzia mwanzo kabisa ndipo stori imeanzia,kwani wewe unaanzia ukurasa wa ngapi?maana stori imeanzia mwanzo kabisa kabla hata ya komentiDuuh asee hujanielewa sijui mkuu yani n hivi Mimi sijawah kutumia jf ko sijui naipataje hyo hadithi ktk mtiririko nafikiri jf iko tofaut na mitandao mingine nimejarbu kuingia ktk akaunt ya umughaka nakutana na koment tuu na baadhi ya vipande unaweza kukuta mara 20 alf 27 ko haina mtiririko mzuri au kama unaweza kuntag kuanzia sehemu ya kwanza mpaka ya mwisho ntashukuru
Unatumia App ya JF au unatumia Browser?Duuh asee hujanielewa sijui mkuu yani n hivi Mimi sijawah kutumia jf ko sijui naipataje hyo hadithi ktk mtiririko nafikiri jf iko tofaut na mitandao mingine nimejarbu kuingia ktk akaunt ya umughaka nakutana na koment tuu na baadhi ya vipande unaweza kukuta mara 20 alf 27 ko haina mtiririko mzuri au kama unaweza kuntag kuanzia sehemu ya kwanza mpaka ya mwisho ntashukuru
Mkuu Song of Solomon jamaa sijamuelewa!,hebu msaidie kama umemuelewa maana stori ipo mwanzo kabisa wa Ukurasa huu hata kabla ya komentiKasema hajui kuzitafuta
Sawa MkuuMkuu Song of Solomon jamaa sijamuelewa!,hebu msaidie kama umemuelewa maana stori ipo mwanzo kabisa wa Ukurasa huu hata kabla ya komenti
Kwani hii story ya utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nimuamini shetani imeenda mpaka ngapi mana mi nmejarbu kutafta nmekuta mwisho 20 lakini nikifatilia komenti wengine naona wamefka 27 ko happy kati zingine naztafta sizipati Mimi nimeshasoma hadi 20Sawa Mkuu
Basi sawa, hapo kwenye story chini si kuna page namba afu kuna vialama kama v ,hiyo v moja inamaana utajump page moja hizo v mbili inamaana utajump page ya mwanzo kwa kwenda juu ama kinachoangalia chini kwa kwenda page ya mwisho, alafu ukitaka labda pg ya 120 unazibonyeza hizo page hapo chini, nimekuelekeza kwa jinsi nilivoelewa swal lakoNatumia app mkuu
Aaaah sawa natumaini nitaizoea tuu kidogo kidogo hii app nisisumbue watu naomba unisaidie kitu kama hutojali naomba unitag katika stori ya utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nimuamini shetani sehemu ya 21 mpaka ilipoishia hapo itakuwa umenisaidia zaidBasi sawa, hapo kwenye story chini si kuna page namba afu kuna vialama kama v ,hiyo v moja inamaana utajump page moja hizo v mbili inamaana utajump page ya mwanzo kwa kwenda juu ama kinachoangalia chini kwa kwenda page ya mwisho, alafu ukitaka labda pg ya 120 unazibonyeza hizo page hapo chini, nimekuelekeza kwa jinsi nilivoelewa swal lako
Shida ile hii stor akat inatoka kwanza ilikuwa haitok hata kwa mfululizo wa siku tulikuwa tunasugua gaga hata wiki nzima ndo inakuka so kutokana na ivo comments zilikiwa nyingi sanaa ndo maana unapata shida kuipata next epsode. Wewe uwe una scroll ivo ivo utaipata tu inayoendeleaAaaah sawa natumaini nitaizoea tuu kidogo kidogo hii app nisisumbue watu naomba unisaidie kitu kama hutojali naomba unitag katika stori ya utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nimuamini shetani sehemu ya 21 mpaka ilipoishia hapo itakuwa umenisaidia zaid
Story moja interesting hivi kuhusu pesa za kishirikina, humo ndani huyu mwamba amefanya mengi ikiwemo kumchapa "mti nyama" msukule[emoji16]Nimechelewa kuja hapa. Mtu mmoja anipe summary kidogo what is the story about afu niifatilie
Hivi mwisho wa hii stori ni ngapi Mana Mimi nimeishia 20Story moja interesting hivi kuhusu pesa za kishirikina, humo ndani huyu mwamba amefanya mengi ikiwemo kumchapa "mti nyama" msukule[emoji16]