Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Kasema hajui kuzitafuta
Mkuu kwani huzioni hapo mwanzo ya kwanza hadi ya ishirini?
Duuh asee hujanielewa sijui mkuu yani n hivi Mimi sijawah kutumia jf ko sijui naipataje hyo hadithi ktk mtiririko nafikiri jf iko tofaut na mitandao mingine nimejarbu kuingia ktk akaunt ya umughaka nakutana na koment tuu na baadhi ya vipande unaweza kukuta mara 20 alf 27 ko haina mtiririko mzuri au kama unaweza kuntag kuanzia sehemu ya kwanza mpaka ya mwisho ntashukuru
 
Mkuu ukurasa wenye stori ni huu ukiscrol kuanzia mwanzo kabisa ndipo stori imeanzia,kwani wewe unaanzia ukurasa wa ngapi?maana stori imeanzia mwanzo kabisa kabla hata ya komenti
 
Duuh asee hujanielewa sijui mkuu yani n hivi Mimi sijawah kutumia jf ko sijui naipataje hyo hadithi ktk mtiririko nafikiri jf iko tofaut na mitandao mingine nimejarbu kuingia ktk akaunt ya umughaka nakutana na koment tuu na baadhi ya vipande unaweza kukuta mara 20 alf 27 ko haina mtiririko mzuri au kama unaweza kuntag kuanzia sehemu ya kwanza mpaka ya mwisho ntashukuru
Unatumia App ya JF au unatumia Browser?
 
Sawa Mkuu
Kwani hii story ya utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nimuamini shetani imeenda mpaka ngapi mana mi nmejarbu kutafta nmekuta mwisho 20 lakini nikifatilia komenti wengine naona wamefka 27 ko happy kati zingine naztafta sizipati Mimi nimeshasoma hadi 20
 
Natumia app mkuu
Basi sawa, hapo kwenye story chini si kuna page namba afu kuna vialama kama v ,hiyo v moja inamaana utajump page moja hizo v mbili inamaana utajump page ya mwanzo kwa kwenda juu ama kinachoangalia chini kwa kwenda page ya mwisho, alafu ukitaka labda pg ya 120 unazibonyeza hizo page hapo chini, nimekuelekeza kwa jinsi nilivoelewa swal lako
 
Aaaah sawa natumaini nitaizoea tuu kidogo kidogo hii app nisisumbue watu naomba unisaidie kitu kama hutojali naomba unitag katika stori ya utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nimuamini shetani sehemu ya 21 mpaka ilipoishia hapo itakuwa umenisaidia zaid
 
Shida ile hii stor akat inatoka kwanza ilikuwa haitok hata kwa mfululizo wa siku tulikuwa tunasugua gaga hata wiki nzima ndo inakuka so kutokana na ivo comments zilikiwa nyingi sanaa ndo maana unapata shida kuipata next epsode. Wewe uwe una scroll ivo ivo utaipata tu inayoendelea
 
Ita too detailed to be fake, it's too much to be true. Bwana we, kama unatunga gizi story wewe tengeneza tu vitabu usipoteze kazi yako kizembe hivi una talanta, ifanyie kazi
 
Aisee simulizi ni nzuri pole sana umaghuka pia asante sana kwa kutuelimisha hakika umenipa funzo kubwa sana na mungu hakubaliki 🙏
 
Back
Top Bottom