Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Muda siyo mrefu mkuu,sema nilikuwa bize kidogo na utafutaji ila mambo yanakwenda sawia.

Mwezi huu hauishi mkuu
Mkuu naomba kabla ya MPYA ufanye mwendelezo wa hii kidogo tufahamu Yale uliyoyaachia njiani.
 
Mkuu naomba kabla ya MPYA ufanye mwendelezo wa hii kidogo tufahamu Yale uliyoyaachia njiani.
Mkuu ujuaji wa humu huwa niwa kijinga,hii simulizi ni ndefu mno niliamua kuikatisha ili niendelee na mambo yangu maana humu hakuna jema mkuu,hii sitoiendeleza tena kwasababu kuna platform nauza huko hivyo walioko huko ndiyo watakao faidi
 
Mwanadamu hana jema, ni platform gani hiyo na ni bei
 
mkuu hv *148*28# kwenye halotel ndo inahusu nin
 
Hongera sana na Pole na mbilinge za maisha. Siku zote ni MAPAMBANO.

ALUTA CONTINUA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…