pambano Joseph
Member
- Apr 28, 2024
- 32
- 21
Nakusapot mkuu kwa uandishi umughaka nime mkubali me pia ni mgen lakn baada ya kusoma story zake nime zielewa sana🤝🤝🤝🤝Pamoja sana mkuu, hii stori ni ya pili kutoka kwako kusoma nimekubali balaa toka ile ya kwanza kwa baba mdogo headmaster!! Natafuta zile zingine niendelee kusoma...umetisha bado unaweza timiza ndoto, una kipaji cha uandishi hivyo una mtaji
Mwana alipoteza utajiri kisa matako makubwaJamaa ulipoteza utajiri kwa ajili ya mwanamke?? Ulikua unamuona Steve kilaza kwa mwanamke wake wewe ndiyo azonto kabisa pole
🙄😂😂😂😂 Apo kwel alizingua sanaMwana alipoteza utajiri kisa matako makubwa
Nimesoma yote ama kweli pesa Zina mambo meusi.......Nimekata tiketi ya mbele. Nasubiri muendelezo
Umesoma story yote au umejiandikia tu🤔Sasa ikiwa hivyo ingia freemason tuh wala isiwe kesi 🤘🤘🤘
😅😅Ukisikia story imesema itaendelea ujue ni narrative story. Title ilinivuta nika scroll mwisho kabisa na kuona neno itaendelea sijajisumbua kuisoma
usome mkuu usiku ndio huuNgojea nihifadhi huu uzi ntausoma siku
😁😁30,000 na umelala chumba cha ajabu,watu wa dar sio wazur kabisa
Ukinitag ntashukuru mkuuVipo vya kutosha mkuu!