Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Pamoja sana mkuu, hii stori ni ya pili kutoka kwako kusoma nimekubali balaa toka ile ya kwanza kwa baba mdogo headmaster!! Natafuta zile zingine niendelee kusoma...umetisha bado unaweza timiza ndoto, una kipaji cha uandishi hivyo una mtaji
Nakusapot mkuu kwa uandishi umughaka nime mkubali me pia ni mgen lakn baada ya kusoma story zake nime zielewa sana🤝🤝🤝🤝
 
Farah wa Gerezani VS Farah aliyekuja Gongo la Mboto VS Maya...

Mbona ni kama mzimu ule ule mmoja?!! Kwa mujibu wa mtiririko wa matukio.

Seems like Ally na Farah wanajua wanachokifanya. Lao ni moja.

Big Up sana mkuu UMUGHAKA , simulizi yako ni nzuri na inavutia sana kuanzia uandishi na maudhui. Inafundisha na kusisimua.

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom