frankkilulya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2022
- 590
- 1,494
duh sio poa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kmmmk labda sio mimi... Ukifoul mouth my mother nakuacha siku hiyo hikoOa ndio uone mziki wake. Watu wengi hawajui Mana ya kuoa wao wanajua hisia ama wanaongozwa na hisia Mana muda huo unakuta Dickson amechachamaa kinyama. So uoe huko kwenu manchi Moto ndio Kuna Koo unazijua tokea babu wa babu yake.wewe unakutana na manka mjini umesoma umekuwa let say lecturer unamuona amewaka unazama. Cheki story ya Jackal Daniel yule mama anaona wivu mmewe kusomesha tu mtt wa Kaka yake. Yaani Bora usomeshe wa mchepuko haitamuuma Ila was ndugu yako inauma mno.
Unapooa unaleta mtu Kuja kumpanda kwenye Koo yako ,je atakubali kuota ama ndio mama yangu akitoka keisangora na like tope jekundu na magaga akiingia kwenye nyumba ya spanisha tiles atakuwa anaona kuwa anaichafua.
Kuna dokta mmoja anaitwa machela alioa mhaya mmoja Tena mziba wale walizopata first contact na wamisheni. Huyu jamaa bana siku mama yake alipokuja kumsalimia mke wake akamwambia kuwa huyu mama yako Ni mchafu mpeleke kwa rafiki yako alale na kweli akampeleka
😂😂😂Na wana mbolea kali sana,ukipanda mbegu chap!
Nipo nipooonyakisese njoo hukuuu
Yule mwana mjaa laana atakua anafyatuliwa tu tope huko saa hii hata kukaa kuandika amalize haweziLi Tv la kaka mwarabu. Dah! Yule mwamba sijui aliishia wapi.
Mkuu, katika hali ya kawaida, binafsi, hata kufungua tu hilo geti la nje, nitaogopa!masharti ya mganga aliyompa ally mpemba ni ya bei rahisi kweli yani.. yani kufunga na kufungua mlango tu
Mmmmh beb ata ivyo na mpango wa kuamia kwako[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]umeishaaaa
We Una msongo mkubwa Sana wa mawazo..inaonekana maisha yamekuchapa vilivyo ...!!Ni umpumbavu San amefanya huyu kiajna
I'll ukimbuambia unaambiwa uanaaribu story watu hwataki kuoji vitu vya msingi
Me cjawai ku-comment humu ndani ila huyu jamaa inaonekana ana maisha magumu sanaWe Una msongo mkubwa Sana wa mawazo..inaonekana maisha yamekuchapa vilivyo ...!!
kumbe ulikuja nusu nusu,basi sikutaki tenaMmmmh beb ata ivyo na mpango wa kuamia kwako