Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Nikiwa nalitazama lile jitu ghafla wazo la kijinga liliniingia kichwani, nikajiambia hivi siwezi kucheza nalo nachi za kihindi??

Basi nikaona acha niwe Sharukhan wa kikurya halafu lenyewe liwe Kajol wa kipemba aisee

Nikaanza kuliita kajo, we kajo lakini halikunijibu kitu, basi kwa upuuzi wangu nikasema acha nimkashike mkono weeh nilijuta
 
Jf ina vichwa mbovu sana [emoji1][emoji1] ungemwimbia amelowa amelowa amenyeshewa na mvua [emoji1]
 
Mkubwa UMUGHAKA mbona kipindi kile huyo kiumbe ameshinda njaa na kapasua pasua glass kesho yake ulipomfungulia mlango hakutoka kwa fujo kama hizi au alijua kuwa ilikuwa ni bahati mbaya
 
Na Kuna misukule humu inaamini ni story ya kutunga
Naomba kila msukule abaki na imani yake, hii story kama UMUGHAKA kaitunga au kaitungua pahali atakuwa anajua mwenyewe

Kuna kasehemu hapo eti UMUGHAKA alipewa pesa million 40 apeleke bank sijui kulikuwa na umuhimu gani wa yeye ndio aipeleke bank wakati Ally Mpemba angeweza tu kutuma namba za acc kwa yule dada pesa ikawekwa bila kuirisk mikononi mwa umukurya
 
Mkubwa UMUGHAKA mbona kipindi kile huyo kiumbe ameshinda njaa na kapasua pasua glass kesho yake ulipomfungulia mlango hakutoka kwa fujo kama hizi au alijua kuwa ilikuwa ni bahati mbaya
Ngoja nimsaidie umughaka,,siku ya kuvunja vyombo hakukuwa na chochote cha kula fujo zikaishia kwenye vyombo . Lakini mara hii katoka mbio maana kwa vyovyote anajua msosi upo na fujo zikaishia kuachia master ute mzito apige deki 😄
 

Kwa hiyo unahitaji msaada gani ndugu? Ngoja sisi tuendelee kudanganywa, wewe tafuta stori usizodanganywa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…