Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Naomba kila msukule abaki na imani yake,hii story kama UMUGHAKA kaitunga au kaitungua pahali atakuwa anajua mwenyewe

Kuna kasehemu hapo eti UMUGHAKA alipewa pesa million 40 apeleke bank sijuhi kulikuwa na umuhimu gani wa yeye ndio aipeleke bank wakati Ally Mpemba angeweza tu kutuma mamba za acc kwa yule dada pesa ikawekwa bila kuirisk mikononi mwa umukurya
Labda benki hujawahi kwenda, benki kuna foleni unaweza kukaa hata masaa 3, kisha kuhesabu hizo hela kwa tela ukatumia tena karibu lisaa. Sasa kwa watu walivyo busy Dar masaa 3 ni muda mrefu sana.

Halafu kwa maelezo ni kuwa milioni 40 haikuwa hela kubwa kwa huyo jamaa ni kama unavyoiona laki 5 kwako
 
Naomba kila msukule abaki na imani yake,hii story kama UMUGHAKA kaitunga au kaitungua pahali atakuwa anajua mwenyewe

Kuna kasehemu hapo eti UMUGHAKA alipewa pesa million 40 apeleke bank sijuhi kulikuwa na umuhimu gani wa yeye ndio aipeleke bank wakati Ally Mpemba angeweza tu kutuma mamba za acc kwa yule dada pesa ikawekwa bila kuirisk mikononi mwa umukurya
Labda hakupenda yule dada ajue namba yake ya AC
 
Naomba kila msukule abaki na imani yake,hii story kama UMUGHAKA kaitunga au kaitungua pahali atakuwa anajua mwenyewe

Kuna kasehemu hapo eti UMUGHAKA alipewa pesa million 40 apeleke bank sijuhi kulikuwa na umuhimu gani wa yeye ndio aipeleke bank wakati Ally Mpemba angeweza tu kutuma mamba za acc kwa yule dada pesa ikawekwa bila kuirisk mikononi mwa umukurya
Pesa za wahindi na waarabu mpaka azishike mkononi, au zishikwe na mtu wake ndo zipelekwe bank. Nilifanya kazi kwa wahindi muda mrefu, tukalazimisha kuwa tumechoka kupewa hela mkononi tunataka mishahara ipitie bank, matokeo yake, mhasibu anaenda bank kuchukua mshahara, anakuja na hela ofisini, zinasomewa kisomo, halafu zinapelekwa benki ili tulipwe mishahara...
 
Naomba kila msukule abaki na imani yake,hii story kama UMUGHAKA kaitunga au kaitungua pahali atakuwa anajua mwenyewe

Kuna kasehemu hapo eti UMUGHAKA alipewa pesa million 40 apeleke bank sijuhi kulikuwa na umuhimu gani wa yeye ndio aipeleke bank wakati Ally Mpemba angeweza tu kutuma mamba za acc kwa yule dada pesa ikawekwa bila kuirisk mikononi mwa umukurya
Yawezakana pia mpemba alikua anampima muraa
 
pesa za wahindi na waarabu mpaka azishike mkononi,au zishikwe na mtu wake ndo zipelekwe bank.nilifanya kazi kwa wahindi muda mrefu,tukalazimisha kuwa tumechoka kupewa hela mkononi tunataka mishahara ipitie bank,matokeo yake,mhasibu anaenda bank kuchukua mshahara,anakuja na hela ofisini,zinasomewa kisomo,alafu zinapelekwa benki ili tulipwe mishahara...
Hapo wafanyakazi maendeleo mtayasikia Tilonda
 
Naomba kila msukule abaki na imani yake,hii story kama UMUGHAKA kaitunga au kaitungua pahali atakuwa anajua mwenyewe

Kuna kasehemu hapo eti UMUGHAKA alipewa pesa million 40 apeleke bank sijuhi kulikuwa na umuhimu gani wa yeye ndio aipeleke bank wakati Ally Mpemba angeweza tu kutuma mamba za acc kwa yule dada pesa ikawekwa bila kuirisk mikononi mwa umukurya
Ukiaminika na boss ni kitu simple tu hicho. Mimi mwenyewe nilikuwa natumwa na pesa zaidi ya hizo kwenda kubadilisha ziwe dollars kabla Magu hajaingilia suala la foreign currency exchange
 
Back
Top Bottom