Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Labda benki hujawahi kwenda, benki kuna foleni unaweza kukaa hata masaa 3, kisha kuhesabu hizo hela kwa tela ukatumia tena karibu lisaa. Sasa kwa watu walivyo busy Dar masaa 3 ni muda mrefu sana.Naomba kila msukule abaki na imani yake,hii story kama UMUGHAKA kaitunga au kaitungua pahali atakuwa anajua mwenyewe
Kuna kasehemu hapo eti UMUGHAKA alipewa pesa million 40 apeleke bank sijuhi kulikuwa na umuhimu gani wa yeye ndio aipeleke bank wakati Ally Mpemba angeweza tu kutuma mamba za acc kwa yule dada pesa ikawekwa bila kuirisk mikononi mwa umukurya
Halafu kwa maelezo ni kuwa milioni 40 haikuwa hela kubwa kwa huyo jamaa ni kama unavyoiona laki 5 kwako