Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Mental health is real haya wewe ulie bize umepata wapi time ya kunisoma na kunihakiki hivi, mimi nimesema wapi aniambie yupo wapi anafanya nn wakat nimekereka alivosema yupo mbeya...eti niwaze mwanangu asome usa nyie mbona upo nje sana ya topic mkuu wangu.

Januari ni ya wote, ada madeni kodi na ukata ni wwa wote please usifike mahali ukajiona upo peke yako hapana ni nusu ya watized tunapitia hayo wewe ondoa uchungu jipe moyo maana unaongelea b plus na hapo unajinukia mdomo kwa njaa mengine yakupite mama yangu when men talks women are to cook and breastfeed pole mtoto mzuri
 
asa apo kuna kingleza gani mkuu wangu,,,wote tupo januari usijisikie vibaya hiyo hali unayopitia ni almost nusu ya watized wote...jipe moyo dada hauko peke yako ee mama
Huna kazi ya kufanya unataka kila Mara usome Hadith! Za Umughaka, njoo Kanda ya ziwa huku nkufundushe kuvua samaki uone Kama utapata muda wa kulaumu kwa mm simulizi haijatumwa huku kenge wewe
 
Huna kazi ya kufanya unataka kila Mara usome Hadith! Za Umughaka, njoo Kanda ya ziwa huku nkufundushe kuvua samaki uone Kama utapata muda wa kulaumu kwa mm simulizi haijatumwa huku kenge wewe
sawa mkuu kenge mwenzangu lakini angalia usiloweshe smatifoni hapo katikati ya ziwa unapovua na kuperuzi jeiefu...afya ya akili is big deal..
 
Pamoja mno mkuu.
 
Akili kubwa hii!! Mimi Ni mmoja wa wafuatiliaji wa Hadith zake , nkikuta kaweka nasoma Kama hajaweka nafanya mambo mengine siwezi mlaumu hata akileta kwa wiki Mara moja naona sawa tu
 
Akili kubwa hii!! Mimi Ni mmoja wa wafuatiliaji wa Hadith zake , nkikuta kaweka nasoma Kama hajaweka nafanya mambo mengine siwezi mlaumu hata akileta kwa wiki Mara moja naona sawa tu
Mie hata akiweka kwa mwezi Mara moja. Nimemmwambia jamaa Ila kwa vile najua how our brains are working imenibidi nimu ignore.

Behavior modifications is the serious na Ni kazi kumbadilisha mtu. Mana unakuta mtu Ni zao ama matunda yaliyopandwa tokea akiwa mdogo so wewe Kuja kumbadilisha mtu Ni sawa ung'oe mti uliokomaa ukaoteshe pengine. Ama samaaki aanze kupaa Kama ndege Ni kazi mno kuchange
 
be the change u want to see...ukitaka watu wasiwe judgemental it starts by you, ukitaka watu wanyamanze kaa kimya wewe alie na shida ni yule unaemuona kwenye kioo my sister ushajua huwezi kumbadili mtu mzima y bother? the subjectivity u proclaim is in you wote hapa tumekua tunajadili simulizi wewe umenikurupikia mimi as a person u only needed to get into the object n not subject na as u are saying hiyo ni shida ya malezi.

Huwezi kuogesha mtoto ukiwa na mikono michafu osha mikono yako kwanza na hili pia huwezi elewa the way hukulielewa la kwanza ukalijia na essay
 
Kichwa Cha panzi bhanaaa
 
Kichwa Cha panzi bhanaaa
we nae si utulie nyie ndo wale bora uaibike ila uwepo wako uonekane aya mama umeshida rudi jikoni upike tule sasa ndo mana huwa mnawashwa makofi mnakimbilia kushtaki eti ukatili wa kijinsia sasa hapa wanamume tunatunishiana vifua unakuja na tu chuchu twako saa kumi na mbili kujipitisha haya chukua kombe rudi jikoni haraka boma liwanza
 
Mwingine wa "hovyo" huyu.
 
Rubbish
 
Easy man! Yeye ni binadamu hana ratiba fixed kama ww.

We just have to understand him and appreciate what he delivers cz we don’t pay him for writing us a story and he doesn’t expect anything from us either,.

Hata kutuambia alipo au kilichomfanya ashindwe kuandika ni hekima yake tu ila he is not answerable to anyone in here, so chill relax kurya man will definitely come back with next eps till we finish the story.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…