goodhearted
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 978
- 1,237
Pole brother, unaumia moyo kwa kumwamini kanjanja flani wa huko matakoni mwa nchihii ndo shida ya watuma simulizi wa jf anaanza vizuri af akipata audience analewa. Angalia simulizi ya kwanza the guy alikua anashusha vitu bampa tu bampa mwishoni akawa full of xqz and tha was after kuona amekubalika yani if its my wish tuache hata kumkumbusha trust me venye tunaonesha we desparately need this uyu atatutesa sana and here am refering kwa mtunzi mmija mzuriiiisaana hapa jf yani yeye ni zaidi sana ya huyu infact angeweza kufika mbali sana sasa baada ya kuona ana watu wengi akaanza pozi na xqzs kibao leo nipo safar leo kazi maalum leo nimeitwa leo naumwa leo hakuna umeme mpk watu wakaingia ganzi i bet he is still wondering. Jamani watunzi mjue hakuna Fanani bila Hadhira yani bila sisi wewe kazi yako ni bure utakaa ujsimulie mwenyewe udate tukuwahishe milembe. Yes huwezi kutuma kila siku bas toa ratiba na uifuate maana hatujakuomba ulete na hujatuomba tusome, umeshindwa kutuma sema leo situmi watu waendelee kuijenga nchi masikini wasiingie jf kukutafta sa unatujia na habari za uko mbeya inahusu nini hapa na unaona watu wanakuita af pozi zote hizi ukija umetupia kimoja umesepa aisee elewa njaa ikiuma saana inakuja inaacha acha uletewe chakula gani unaweza usile na wewe yanaelekea kukukuta soon mtu umeanza vizuri umepata neema ya kukubalika fastaa c ndo ungetumia majira kwa hekima maana hii kwako ni miaka saba ya mavuno bad enough hujui itakuja saba ya ukame atakuja mtu mwenye simulizi zake anakuoutsmart the way u outsmarted others ukawa talk of town niamini mimi utasahaulika na itakua mapema zaidi kwasababu umeanza kulewa kabla jua halijazama. All the best.