Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

umeambiwa kila mpemba ni ivyo, kwan bara hakuna wenye pesa za halali na za manyau nyau. usipaniki na mabukula yako budda hausemwi wew
 
Khekhekhekhekhe
 

Huyu Umughaka kazi yake ni kusimulia story tu jamani hana issue zingine za kufanya?

Mnamlipa? Kwanza ametoa taarifa yuko safarini Mbeya, huko mbeya mnajua yuko kwenye hali gani, mbona mnakosa utu, mbona uvumilivu unawashinda bandugu mnaanza kuongeeeea utadhani mnalipia hii huduma ya hadithi.....kuweni na utu story ataileta kwa wakati wake
 
Huyu jamaa ameshaleta story mbili na zimefikia ukomo, labda useme hukuziona na kuzipitia na zote zimeisha kwa mtindo huu.

Kimajukumu hatufanani huenda ana mambo mengi ndio sababu ya kuchelewa, kabla ya kumlaumu inabidi upitie post zake mara nyingi hutoa taarifa ya kilichosababisha kuchelewa.
 
Umughaka ajaweka story mahali ok achukui na kupaste Tu hapa, kwaiyo tuelewe Kwamba ili apost hapa lazima atulie aandike aache ishu zake zingine.

Na apo lazima apoteze masaa 3 mpaka ma 4 ili stor iwe ndefu na yenye mpangilio zaidi.
hapa kakosa muda yawezekana majukumu yamemzidi sasa je aue 3 hrs wakat kuna ishu zingine zina mbana?

Tuvumilie wakuu isiwe kuleta stor humu ni kama deni hapana uzuri ajawai ishia njiani.
 
Nichangie kitu hapa.

Ujuaji si kitu kizuri sana maishani, watu wanarushiana maneno, kikawaida huwezi kuta jamii au mtu aliyestaharabika akimkashifu mwingine. Tukumbuke kila mtu anavipaumbele vyake, mwenzako akiwa chini haimaanishi kuwa hajiwezi bali hicho ni kipaumbele chake.

Mbali na yote ni kuwa ukisikia kuna kelele mahali inamaanisha kuna jambo haliko sawa, hiyo ni taadhali kama kungekua sawa kusingekua na hayo makelele.

Tuheshimiane tu na usijifanye ni muelewa zaidi kwenye jamii ya watu usiowafahamu.

Kujipendekeza tena kwa mtu mzima ni aibu sana
 
Ningekuwa mimi ningekuwa naleta ka episodi kamoja baada ya miezi 6, sipangiwi
 
Vipi yule mtoto uliyemtorosha ulishamrudisha?
 
Aisee watu wa Mbeya Mgonile?

kumbe mko serious hivi na maisha!.

Jana nimepita mahali nikakuta watu wamekusanyika kibao nikadhani labda wanaangalia mpira kumbe wako serious wakitazama Taarifa ya habari[emoji23][emoji23].

Hongereni sana kwa uaminifu wenu wa kufatilia mambo muhimu yanayoendelea Tanzania na duniani,kiukweli nimeshangaa sana kwasababu mkusanyiko ule kwa pale Dar es salaam utakuta kwenye mambo ya mpira tu na huwezi kuona eti watu wamekusanyika kijamaa wanaangalia taarifa ya habari!

Mmenikosha sana watu wa Mbeya!

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sema mwamba Dar haijakubadilisha tabia…. Mimi Dar imenifanya kua bandidu sana asee tofaut na nilivyofika miaka mitano iliyopita..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…