Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Mkuu naomba ni tag, maana nimetafuta siioni
Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani
Nisikuchoshe na usinichoshe, tusichoshane! Kwenye haya maisha kuna wakati huwa ninakaa chini na kusema "Kama sikufa kipindi kile,basi siwezi kufa mpaka Mungu atakaporuhusu" Nadhani wengi mtakumbuka ni siku chache tu zimepita nimeandika kisa cha maisha ambayo nilikutana nayo wakati nikiwa...