Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Sasa mother tongue na kuandika vinahusianaje?
 
Lucha ukuje useme kama ungeweza kuvua nguo zoteπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ha ha ha... Mimi kiuchumi sina tatizo nasikitika tu jamaa kaingizwa mjini ameshazoea sasa....haya yote heri lakini....🀣
You played your part (if any at all) maana hata sisi tulitambulishwa duniani tukasomeshwa na wazazi halafu tukifanikiwa tunawaacha vijijini bila msaada, sembuse we kumtambulisha mtu aliyeshika πŸ”« ambayo we unaiona ikiwa imebebwa na askari? Kuna tajiri wa mabasi ya Sauli Dar hana makazi kabisa ye ni chunya na mbeya tu. Kutangulia mjini sio kufanikiwa jombaa
 
Ameshaniita mimi sina akili siwezi bishana naye tena. Huyu kijana nimehusika sana katika ukaaji wake hapa Dar. Ila basi kama leo hii mimi punguani. Namshukuru.
Kwenda huko Acha kujipa umuhimu kwenye Maisha ya watu, ungekuwa umeshiriki kivyovyote vile katika Maisha ya jamaa basi usingekuwa na chuki za wazi namna hii Kwa jamaa

Ungekuwa unajuana na mshkaji naimani tofauti zenu mngezimalizia huko huko mlikofamiana na sio nyuma ya keyboard

Unaonekana una wivu sana juu ya Mwamba,We pia ulikuwa na vistory vyako uchwara na watu tukasoma ila hukubahatika kutrend kama mshkaji na maisha ndio yapo hivo

Ata kama mnafanya kazi moja hamuwezi kuwa sawa, kila mmoja atabaki na upekee wake, kwahiyo badala ya kujenga chuki hebu angalia positivity za mshkaji ujifunze vitu ambavyo vitakusaidia katika uandishi wako nawewe

Umekazana na kumshtumu jamaa juu ya story zake kuwa ni za kutunga Tunga, sasa ili ujue kama kutunga story ni ngumu sana hebu kaendeleze story zako za kukopi na kupest huko ulipoziachia

Kwa sasa we kubali tu ata kimoyo moyo kuwa jamaa ni wamoto, sasa nawewe ingia chimbo ulete story wasomaji sie tupo tu ata ulete story ya vibata vidogo vidogo vinaogelea tutasoma tu
 
Daah mkuu kinaniuma unavyo poteza Energy yako kwa watu mapochopocho kama huyo Chizi ambaye sijui maarifa kayatoa wapi...[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
 
Mim ndo niliifunga na kufungua.
Na mim nilikua nalala hapo hapo ndani na maya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…