Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Yani ngoja NAMI nishushe simulizi zangu za kichawi
 
Ndio ukweli huo, nenda kwenye page yake nyuzi zake zilizobuma zipo hakuzimaliza alisusa kama binti mwasiti, anaumia sana tena sana. Na ukijarib kuliongea hili anakua mkali kama bi chausiku wa itv, anarusha maneno ovyo kama bi nasma..
Sasa ndo umeturahisishia kazi😂 aah basi kumbe dish lilishacheza
 
🤣🤣🤣🤣😂...Ohh my head hurts 🤓🤓
 
Unaipiga mwing kijanA
 
Povu lote hili ni story tu, au na wewe hii story unaiuza??

Mishipa imesimama kabisa unamshushia makavu mwamba kisa hajapost story ambayo hamkuoiomba wala hamumlipi na hajalazimisha mtu kuisoma.

Ficheni ujinga wenu basi.
 
Karma is real bro
 
Maisha ni marahisi sana, don't complicate the minor things. Hii ni hadithi tu, isikuumize kichwa kwa mapungufu yanayo jitokeza
 
Ha ha ha... Mimi kiuchumi sina tatizo nasikitika tu jamaa kaingizwa mjini ameshazoea sasa....haya yote heri lakini....🤣
Ukichanganya Uzi wako ulioanzisha jana kuwa mlimroga mfanyakazi mwenzenu kwa kuwa alikuwa smart na anasifiwa na Boss + Unachoandika katika huu Uzi.

Wewe umetawaliwa na roho ya kwa nini (WIVU) yule awe hivi,
unaharufu ya ulozi.
Halafu sio smart kichwani inaonyesha ni mtu wa hovyo,
Naionea huruma familia yako
 
Huyu ni attention seeker halafu bahati mbaya huwa hapati attention anayoitaka sababu hana nyota. So kuendelea kuwa relevant anaangalia uzi unaotrend anauvamia as if anajuana na mwenye uzi personally ni wa kumpuuzia tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina chuki, wivu, ukorofi,uhuni, ukichaaa na yote hayo na mengine babaa ake. Niambie. Upo pande zipi?
 
Huyu wa hivi familia aitoe wapi bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…