DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 12,846
- 28,106
Yani ngoja NAMI nishushe simulizi zangu za kichawiAisee watu wa Mbeya Mgonile?
kumbe mko serious hivi na maisha!.
Jana nimepita mahali nikakuta watu wamekusanyika kibao nikadhani labda wanaangalia mpira kumbe wako serious wakitazama Taarifa ya habari[emoji23][emoji23].
Hongereni sana kwa uaminifu wenu wa kufatilia mambo muhimu yanayoendelea Tanzania na duniani,kiukweli nimeshangaa sana kwasababu mkusanyiko ule kwa pale Dar es salaam utakuta kwenye mambo ya mpira tu na huwezi kuona eti watu wamekusanyika kijamaa wanaangalia taarifa ya habari!
Mmenikosha sana watu wa Mbeya!
[emoji23][emoji23][emoji23]