Kama kuna ukweli vile.Huyu wa hivi familia aitoe wapi bana
Nilipo soma comment zako za mwanzo nilidhani Huna akili timamu mkuu, mpaka pale nilipo endelea kusoma na zingine ndipo nikagundua kumbe ni kweli HUNA AKILI TIMAMU, We jamaa tafuta tiba mapema kabla hujaanza kutembea uchi mtaani. Ushauri wa bure nakupa!!Kumbe unakumbuka......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huyu jamaa mi huwa namshangaa sana.... Leo hii anamponda mpemba wakati mpemba amemtoa mbali sana kipindi hicho anamwita kaka mwarabu....
Kuna maisha baada ya story ya umughaka.... Tunza heshima yako usije geuka nzi wa chooni kwenye mada zingine.Kumbe unakumbuka......😂😂😂😂 Huyu jamaa mi huwa namshangaa sana.... Leo hii anamponda mpemba wakati mpemba amemtoa mbali sana kipindi hicho anamwita kaka mwarabu....
Kama anayo 😎Tunza heshima yako
Nimeshaanza kutembea uchi mtaani.... Je bado nahitaji ushauri?Nilipo soma comment zako za mwanzo nilidhani Huna akili timamu mkuu, mpaka pale nilipo endelea kusoma na zingine ndipo nikagundua kumbe ni kweli HUNA AKILI TIMAMU, We jamaa tafuta tiba mapema kabla hujaanza kutembea uchi mtaani. Ushauri wa bure nakupa!!
Leo kaka Mwarabu kawa mpemba?Kuna maisha baada ya story ya umughaka.... Tunza heshima yako usije geuka nzi wa chooni kwenye mada zingine.
Inaonekana kafanikiwa kumtoa kijana kwenye msitari na dogo katoka mchezoni.Naona Chizi Maarifa anaelekea kufanikiwa lengo lake kuharibu uzi huu wa Master Umughaka.
Kama Umughaka anavyosema huyu dawa yake ni kumpuuza, mnaomjibu ndo mnampa nguvu.
Kabisa.... Ila nimemwambia atume episode nyingine haraka nataka nione ambapo ataandika kuwa alikuwa analala na Ally Mpemba. Asikwepe hapo.Naona Chizi Maarifa anaelekea kufanikiwa lengo lake kuharibu uzi huu wa Master Umughaka.
Kama Umughaka anavyosema huyu dawa yake ni kumpuuza, mnaomjibu ndo mnampa nguvu.
Hapana. MIMI NAMTIA MOYO DOGO ATUME EPISODE HARAKA. NASUBIRI HIYO EPISODE HARAKA NIMESHA MPIGIA SIMU KASEMA ATATUMA.Inaonekana kafanikiwa kumtoa kijana kwenye msitari na dogo katoka mchezoni.
Mama D na wewe umeingia kwenye huu msululu wa kusubili episodeUmughaka
Dogo umemkata network kabisa.anyway labda atarudi kwa kasi ila umetuharibia mkuu.next time usifanye hivi tena.Hapana. MIMI NAMTIA MOYO DOGO ATUME EPISODE HARAKA. NASUBIRI HIYO EPISODE HARAKA NIMESHA MPIGIA SIMU KASEMA ATATUMA.
Ndugu yangu unatafuta kiki sana ila umefeli huwa mara nyingi unatoa stori sana ila haziwi na mvuto kama za huyu dogo labda nyota yako imefifiaKabisa.... Ila nimemwambia atume episode nyingine haraka nataka nione ambapo ataandika kuwa alikuwa analala na Ally Mpemba. Asikwepe hapo.
Ndugu yangu unatafuta kiki sana ila umefeli huwa mara nyingi unatoa stori sana ila haziwi na mvuto kama za huyu dogo labda nyota yako imefifiaKabisa.... Ila nimemwambia atume episode nyingine haraka nataka nione ambapo ataandika kuwa alikuwa analala na Ally Mpemba. Asikwepe hapo.
Walienda saa moja asubuhi wakarudi saa kumi na moja jioniNimekuelewa ila mimi nilikuwa nafafanua juu ya hao wanaouliza kwenye previous post kuwa wakati jamaa wapo unguja nani alitahudumia huku dar.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kazi kaziiKuna mwanamke wa kikurya aliwah kumuuma kijana mmoja mkono mpaka akamtoa damu baada ya kumkuta kijana yule kakaa kwenye siti yake na alipomuomba kumpisha kijana alikataa na kusema kuwa kakatiwa hyo siti na konda hvyo ni yake na hawez kutoka
Baada ya lile tukio ilibidi yule mama atafutiwe siti na akaanza kujitapa kwa kusema kuwa haogopi mtu ameshazoea kupigwa na mume wake mpaka anazimia na akizinduka wanaendelea na ugomvi
Hana uwezo huyo afatilie ajue kipaji chake ni nini , huenda Mungu kampanga awe mama ntilie Ila yeye kalowea humu mwisho wa sku ndo mana anawaroga wenzake huko kazini kwao , imagine Kati Kati ya taarifa za kuteua na kutengua za akina diwani ambazo ndo hot news , Ila Uzi wa dogo ambao just a story unatoboa kwenye trendingNdugu yangu unatafuta kiki sana ila umefeli huwa mara nyingi unatoa stori sana ila haziwi na mvuto kama za huyu dogo labda nyota yako imefifia