Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

kwa mara ya kwanza mwanaume kutoka Kijiji cha Mogabiri huko Ukuryani Tarime nikapanda Range,
Hii umenikumbusha kwa Mara ya kwanza kupanda Nissan Patrol moja ya bosi wetu Ladwa ile badae ikaibiwa na kupelekea matukio kule Moshi.

Nilipanda kibahati tu kuna issue ilikua tutoke ofisini kwake Nyerere road mpaka hotelini kwao O bay. Aloo nadhani kale kasafari ilikua kama tunaenda peponi.

Ndo nilijua kwamba kuna watu wanaishi sie wasindikizaji tu.
 
Hii umenikumbusha kwa Mara ya kwanza kupanda Nissan Patrol moja ya bosi wetu Ladwa ile badae ikaibiwa na kupelekea matukio kule Moshi.
Nilipanda kibahati tu kuna issue ilikua tutoke ofisini kwake Nyerere road mpaka hotelini kwao O bay.
Aloo nadhani kale kasafari ilikua kama tunaenda peponi.
Ndo nilijua kwamba kuna watu wanaishi sie wasindikizaji tu.
Huyo Ladwa ni mzungu?
 
Kwa nini tusifungue kesi dhidi yake ili tupige hela mkuu?
Achaneni nae huyo Mwendawazimu. Ataiga ID yangu ila IQ yangu, Uchambuzi wangu na Uwasilishaji wangu wa Masuala Mtambuka hapa JamiiForums kamwe hatoweza Kuiga, Kuniiga na Kuyaiga.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!!!
 
Kuna watu wana kipaji cha kusave kutimiza malengo.
Lakini we UMUGHAKA unawezaje kuishi bia demu? Zaidi ya yule Monica mchawi kule kijijini hujawahi simulia kuhusu mwanamke mwingine
Atakua anatafuta mabeki3 anakula kimya kimya bila kuhadithia,mabeki 3 hawanaga gharama kubwa sana,ni buku 2 tu ya vocha
 
Back
Top Bottom