babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Hii umenikumbusha kwa Mara ya kwanza kupanda Nissan Patrol moja ya bosi wetu Ladwa ile badae ikaibiwa na kupelekea matukio kule Moshi.kwa mara ya kwanza mwanaume kutoka Kijiji cha Mogabiri huko Ukuryani Tarime nikapanda Range,
Nilipanda kibahati tu kuna issue ilikua tutoke ofisini kwake Nyerere road mpaka hotelini kwao O bay. Aloo nadhani kale kasafari ilikua kama tunaenda peponi.
Ndo nilijua kwamba kuna watu wanaishi sie wasindikizaji tu.