Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wahindi pia hayo ni kawaida sana..Kwa jamii ya kiarabu hayo ya kawaida sana.
Wacha.. ni wachawi sanaMatajir wengi wa jamii ya kiafrica, kihindi na arabian ni ushirikina kwelkwel. Wazungu wengi ndio wanakuwaga na pesa ambazo sio za mabukula na mazombie ndani ya nyumba,
kuna tajiri mmoja mchaga lilikuwa millionaire kinoma lakin analala kwenye shamba lake la migomba, naongea aya sio kusimuliwa mim nimeishi kama mpangaji wake na nikawa namuona, ilikuwa Rombo mashati Kilimanjaro.
Mashati na usseri ndio zao, saivi watoto wa mkuu nao wameanza huu upuuziMatajir wengi wa jamii ya kiafrica, kihindi na arabian ni ushirikina kwelkwel. Wazungu wengi ndio wanakuwaga na pesa ambazo sio za mabukula na mazombie ndani ya nyumba,
kuna tajiri mmoja mchaga lilikuwa millionaire kinoma lakin analala kwenye shamba lake la migomba, naongea aya sio kusimuliwa mim nimeishi kama mpangaji wake na nikawa namuona, ilikuwa Rombo mashati Kilimanjaro.
Sio kweli...umerudi lini?Nipooo mwana!
Bado sijarudi!!!Sio kweli...umerudi lini?
Enjoy mamyBado sijarudi!!!