Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 14,516
- 50,658
Safari hii usiende kulala kwenye gari fungua mlango halafu jifiche nyuma ya friji ili umuone ni nani alievunjavunja vyombo hadi ukapata kazi ya kufanya usafiUtajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani - 12.
Alinikabidhi rasmi funguo wa ile nyumba pamoja kiasi cha Tsh 140,000/= ikiwa na maana ya kwamba kila siku nitakapokuwa hapo nyumbani kwake,basi itanipasa kutumia elfu 20 kwa ajili ya chakula cha usiku,aliniambia sipaswi kabisa kurudi nyumbani kwa muda huo atakao kuwa ametoka.Kabla hajaondoka alinionyesha gari miongoni mwa magari mawili mapya yaliyokuwa yamepaki pale ndani ya fensi.
Itaendelea........