Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani - 12.




Alinikabidhi rasmi funguo wa ile nyumba pamoja kiasi cha Tsh 140,000/= ikiwa na maana ya kwamba kila siku nitakapokuwa hapo nyumbani kwake,basi itanipasa kutumia elfu 20 kwa ajili ya chakula cha usiku,aliniambia sipaswi kabisa kurudi nyumbani kwa muda huo atakao kuwa ametoka.Kabla hajaondoka alinionyesha gari miongoni mwa magari mawili mapya yaliyokuwa yamepaki pale ndani ya fensi.


Itaendelea........
Safari hii usiende kulala kwenye gari fungua mlango halafu jifiche nyuma ya friji ili umuone ni nani alievunjavunja vyombo hadi ukapata kazi ya kufanya usafi
 
Saaa kama ulikuwa unawasha AC kwa makosa ndio uchawi. Ukiweka joto itakupa joto.
Work hard upate hela wewe. Acha kusingizia uchawi.
By professional Mimi ni IT sasa nitashindwa kujua kama naitaji joto au baridi? 😂 😂 😂 😂

Halafu lilikuwa sio suala la AC Mkuu wakati mwingine milango inajibamiza lakini nilikuwa daily nikiingia kulala Tayari nimeahakula vyombo.

Chakushangaza sasa siku nahamia ile apartment nilimtafuta dogo afanye usafi tulikua kuna Kunguru amekufa maana ilikuwa ni floor ya 3 yule dogo kafanya usafi kakusanya takataka zote akaweka kwenye Mfuko mkubwa wa plastic akaenda kutupa sikumuona na hela nilikuwa sijamlipa nikaja kuonana nae baada ya kama siku 10 kupita
 
Hawa ndio hatari nilipanga apartment ya huyu Rais wa sasa Zanzibar aisee miezi mitatu tu nilihama [emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiwasha AC joto lakini ukiizima hali inakuwa poa kabisaa

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Acha uongo na uzushi kumsingizia Rais kuwa anafuga majni

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
By professional Mimi ni IT sasa nitashindwa kujua kama naitaji joto au baridi? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Halafu lilikuwa sio suala la AC Mkuu wakati mwingine milango inajibamiza lakini nilikuwa daily nikiingia kulala Tayari nimeahakula vyombo. Chakushangaza sasa siku nahamia ile apartment nilimtafuta dogo afanye usafi tulikua kuna Kunguru amekufa maana ilikuwa ni floor ya 3 yule dogo kafanya usafi kakusanya takataka zote akaweka kwenye Mfuko mkubwa wa plastic akaenda kutupa sikumuona na hela nilikuwa sijamlipa nikaja kuonana nae baada ya kama siku 10 kupita
Acha uzushi wee ,nimekuona jins unavyo msema Mwinyi wa watu

Siyo sawa kumuhusisha rais na story za umughaka ungetaja mtu mwingine

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Acha uzushi dogo jf isikupe kiburi ukajiona kuwa wazee wa Kaz tunashindwa kuku identify faster kwa code zako unazotoa we w endelea kuandika shiti

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Wewe mzee wa kazi au mzee wa mashuzi? Unatishia kitoto na kizamani sana. Mzee w mashuzi wewe....
 
UMUGHAKA, tofauti ya utajiri wa mashetani na wa Mungu ni kwamba baraka za Mungu hutajirisha, nazo hazina majuto.

Utajiri wa mashetani mwisho wake ni kulia na kusaga meno

Amen
 
Yaani ukishaisoma hadithi yake moja tu, hutaiacha nyingine ukikutana nayo!
Halafu uzuri ni kwamba hata akiandika kama script akaipeleka kwa MA director wa movies anapiga hela nzuri maana hata kama ni kumtengeneza series story zake haina complications maana zina uhalisia na maisha yetu ya Kitanzania.
UMUGHAKA.... Chukua hiii
 
Back
Top Bottom